Tuesday, May 21, 2013

WHY "23TH OF MAY" IMPORTANT TO ME??????????????

Fredy E. Chavala with His parents and his Younger Sister,Hilda in late 1980's
Shalom!!!
NINAYO HESHIMA KUBWA SANA KUWASLIMIA WAZAZI WANGU WAPENDWA MR.ERASTO & MRS.OLIVER CHAVALA,NA ZAIDI KUWASHUKURU KWA MALEZI YOTE MPAKA HAPA NILIPO LEO.....KWA HAKIKA NINAWAPENDA SANA!!

Ninawasalimia ndugu jamaa na marafiki na washika dau wote wa Stand Up Comedy na King Chavala kote duniani!
Kila tarehe 23/05 ya kila mwaka,huwa ni siku ya muhimu sana maishani mwangu kwasababu ndio siku ambayo mshale wa mwaka hufika ZERO na kuanza upya tena,ni siku ambayo nilikuja ulimwenguni humu kuanza kazi iliyonileta,ndio siku inayoongeza umri wangu na kupunguza muda wangu uliobaki hapa duniani,ndio siku ya kumshukuru Mungu sana na wazazi kwa malezi bora na utunzaji wa zawadi hii muhimu!
TANGU SASA NA KUENDELEA TAREHE HII ITAKUWA SIKU YA U-SMART/USAFI DUNIANI,sasa kama zote huwa mnaita kutokana na majina ya waazinilishi basi hii itaitwa "CHAVALA DAY......Siku ya usafi duniani"

Labda natania kwasababu mimi ni comedian lakini namaanisha in term of future expectation!!
SIKU HII NI NZURI MNO,NAMI NIMEPANGA KUSHEREKEA NA MARAFIKI MBALIMBALI....Kwanza siku hiyo hiyo au siku nyingine kwa niaba ya hiyo(maana hiyo ni siku ya kazi); Nitakwenda kuwaslimia Watoto Wa Mungu(Yatima) na kutumia siku yangu nzima pamoja nao,lakini usiku wa Tar 23 hiyo nitakuwa CBE-TAFES FAMILY,PALE A.17,pamoja na wanafamilia tukisherekea pamoja na kujikumbushia enzi hizo za uanafunzi.

Na siku ya jmosi 25/05/2013 tutakuwa na safari ya kwenda Bagamoyo kwa ajili ya kujifunza na kutalii,basi kama wewe umezaliwa mwezi May au ungependa tu kwenda na sisi basi wasiliana nasi kwa haraka........safari ya kwenda na kurudi kwa 15,000/= tu....NA SAFARI HII TUTAAMBATANA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA AFYA,HKMU-MIKOCHENI

Ahsante wote kwa kuendelea kuwa na imani na mimi,ahsanteni wote msiochoka kuniombea,kunichangia michango ya aina zote,ya hali na mali,AHSANTENI SANA MARAFIKI,KAKA NA DADA ZANGU,KILA MMOJA ALIYESHIRIKI KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE KUYAFANYA MAISHA YANGU YAFIKE HAPA NILIPO NA APOKEE SANA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI!!

MUNGU AMENIPA UPENDELEO WA UHAI NA UZIMA TELE,VIPAJI LUKUKI NA ZAWADI A KIROHO NYINGI,NAJUA ANAYO MAKUSUDI NA MIMI,OLE WANGU KAMA SITAFANYA KAMA VILE MUNGU ANITAKAVYO NIFANYE!

Maisha yangu ni kwasababu ya Mungu,ninaishi na Mungu na ni kwa ajili ya Mungu.....basi Mungu wangu na awabarikini nyote!!

HAPPY BIRTHDAY DEAR MIMI!!!
King Chavala-MC
+255 713 883 797