HABARI ZENU BASI!
BAADA YA SARAKASI NA MISERELEKO YA MUDA MREFU YA KIJANA FULANI MTANASHATI, MREFU SANA HUSUSANI UKIMLINGANISHA NA YEYE MWENYEWE,MSHEREHESHAJI,MTANGAZAJI NA MTU WA MAMBO MENGI MJINI,JUMAPILI HII AMETHIBITISHA NA KUWEKA WAZI BINTI ALIYEBAHATIKA KUMWANGUSHA KWA PIGO MOJA TU....MMMH HUYU HAPA NI MILEMBE MADAHA!!
FUATANA NAMI KATIKA PICHA UONE SIKU HIYO ILIKUWAJE.....
|
KUBEBWA KULIANZIA NDANI KISHA AKATOLEWA NJE JUU |
|
HATIMAYE NDANI WATU WALIMBEBA KAMA NINI.... |
|
....VAA PETE HII KAMA ISHARA NA ALAMA YA UCHUMBA WETU..... |
|
.....HATA KAMA ANGEKUWA NANI LAZIMA ANGECHEKA TU!! |
|
....NA MILEMBE NAE AKATOA NADHIRI... |
|
MCHUNGAJI DK HURUMA NKONE AKIWAOMBEA | |
|
HATIMAYE MCHUNGAJI AKAWATANGAZA KAMA WACHUMBA RASMI SASA |
|
.....PAPAA AKIONGEA KABLA HAJATOA SHUKRANI YA PEKEE |
|
HAWA NI WANA FAMILIA YA SASALI WALIOKUWEPO PAMOJA NA MZEE SASALI |
|
CHAKULA MAALUM CHA MCHANA,KAWE BEACH |
|
MEZA YA MARAFIKI WAKILA PAMOJA |
|
SAMUEL AKIMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE NYUMBANI |
|
WACHUMBA WAKIPIGA STORI MBILI TATU WAKATI WA CHAKULA |
BASI SHUGHULI HIYO ILIKUWA BOMBA SANA MAANA MARAFIKI WENGI WALIJITOKEZA KUMUUNGA MKONO...PICHANI UNAWAONA NAFTALI,PAPAA,SILAS MBISE,JIMMY TEMU,MATHEW NA WENGINEO AMBAO HAPA PICHANI HAWAJATOKEA!!!
HONGERA SANA PAPAA THE BLOGGER KWA HATUA HII!!!
BY KING CHAVALA-MC
0713 883 797
No comments:
Post a Comment