Thursday, August 23, 2012

....TAMASHA LINGINE TENA LA KUCHEKA TENA HILI HAPA.....


LAUGH AGAIN CONCERT SERIES YA

KING CHAVALA SASA KUJA KIVINGINE 23/09/2012

NDANI YA DPC KINONDONI BILA KIINGILIO!

....Ni Episode VI ya Season I....LAUGH AGAIN CONCERT.....Revolution!!!


Baada ya Matamasha mengi kufanyika hapa Jijini na lile la mwisho dogo la washika dau wa karibu kufanyika CCC-Upanga mara ya mwisho, mwishoni mwa mwezi wa sita, tamasha ambalo liliwakutanisha King Chavala na Gee and Seth; 1st Q Dancers; J-Sisters;  na Comedians Chidundo na Mrema chini ushereheshaji wa mkongwe Papaa Sebene-The Blogger sasa The King anakuja na tamasha lingine la kimapinduzi, moja kutoka mwishoni wa Season ya Kwanza, na mwishoni mwa mwaka wa kwanza wa LACS na hili ni zawadi ya kipekee kwa wapenzi, washika dau na hata wale washika hatamu wapya!


Hili Tamasha la Sita la kipekee...na hili litakuwa kubwa kuliko yote yaliyopita popote, maana baada ya hili kuna lile la mwisho ambalo litakuwa maalumu kwa ajili ya kurekodi LIVE VIDEO YA COMEDY NA VIPAJI VYOTE VYA SEASON ONE! Na tamasha la December linakusudiwa kuwa Dec 28,2012 pale CCC-Upanga.

LAUGH AGAIN CONCERT....Revolution!!!! ni tamasha la kipekee ambalo halitakuwa na kiingilio mlangoni, ingawa washika dau wanakaribishwa kuchangia au kuunga mkono kwa namna yeyote ile wanayoweza kuguswa mioyoni mwenu.....mchango wako unaweza kutufikia kupitia mawasiliano haya au kwa njia ya benki ya simu kwa no. Hizi (+255 713 883 797 au +255 753 883 797)

LAUGH AGAIN CONCERT.....Revolution!!! litawahusisha King Chavala pamoja na vijana wake Richard Chidundo na Mc Pilipili...zaidi kutakuwa na nafasi ya wazi kwa vijana kujaribu kuonyesha vipaji vyao. Zaidi watu au makundi mengine ambayo yatashiriki ni THE VOICE; GLORIOUS CELEBRATION; WORDALIVE BAND NA 1ST Q DANCERS na wengine wengi!!


LAUGH AGAIN CONCERT.....Revolution!!!! itafanyika Dar es salaam Pentekoste Church kinondoni(DPC Kinondoni) tar 23/09/2012 kuanzia 2:30-7:30pm na Hakuna kiingilio,jialike wewe na uwaalike wote!!!

Katika harakati za kukuza vipaji vya kiasili(Natural talents) na kutambulisha Stand Up Comedy Tanzania; LACS imekuwa ni project ya kwanza kutembelea mikoa mingi ya Tanzania na kukutana na wadau mbalimbali kama vile media,makampuni,taasisi,mashirika na makanisa ili tu kwa pamoja wajiunge katika harakati hizi za kuhakikisha Christian Natural Talents zinapata heshima ya kutosha na vijana hao wenye vipaji wanachangamkia na kuujenga ufalme wa Mungu kupitia vipaji hivyo.


Tuesday, August 7, 2012

BAADA YA MATAMASHA KADHAA YALIYOPITA.....SASA KING CHAVALA ANAKUJA NA LAUGH AGAIN CONCERT.....Revolution!!!


KAMA WEWE NI MGENI NA MFULULIZO WA MATAMASHA HAYA YA VICHEKESHO VYA KIKRISTO BASI SASA UNAKARIBISHWA KUHUDHURIA HII INAYOKUJA INAYOENDA KWA JINA LA......LAUGH AGAIN CONCERT....Revolution!!!!

HII ITAKUWA TAR 23RD SEPT. 2012
PALE DPC-KINONDONI
ENTRANCE; FREE!!

KARIBU SANA!!