Tuesday, September 25, 2012

!A CALL TO THE HIGHER DIMENSION" AT WORDALIVE CENTRE, SINZA MORI!!!


NEVER PLAN TO MISS THIS!!!
THIS IS MORE THAN A SEMINAR!!!

LAUGH AGAIN CONCERT....Revolution!!! yafana sana sana!!!


NINAYO KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU KWA TAMASHA LA SITA KATIKA MFULULIZO HUU WA (LACS); YAANI LAUGH AGAIN CONCERT....Revolution!!!

(KING CHAVALA AKICHEZA KWAITO YA WORSHIP)

TAMASHA LILIPENDEZA SANA SANA NA HILI NI TAMASHA LA KWANZA AMBALO NIMEFANYA NIKIWA NIMERELAX NA SIO PRESSURE SAAANA!!!

AHSANTE KWA WATU WOTE WALIOFIKA KWANI BILA HAO HATUNGEFANYA LOLOTE!!

AHSANTE RICHARD CHIDUNDO, MC PILIPLI, DPC DANCERS, 1ST Q DANCERS, WORDALIVE BAND AND DOREEN MLAWA(MC), PIA NINAJISHUKURU MWENYEWE!!!
(1ST Q DANCERS)
AHSANTE KWA WOTE WALIOCHANGIA MAWAZO NA AHADI ZA MICHANGO ZAIDI NA NI MAOMBI YANGU TAMASHA LIJALO LIFANIKIWE MARA DUFU YA DUFU!!

 (KING CHAVALA NA WORD ALIVE BAND)

NAJUA WENGI WALITAMANI KUFIKA LAKINI KUTOKANA NA TAMASHA KUGONGANA NA SEMINA YA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE WAKASHINDWA, LAKINI TUKO PAMOJA SANA! MUNGU NA AWABARIKINI NYOTE!!!

THE VIDEO IS COMING SOON; JUST BAADA YA LIVE RECORDING YA DECEMBER!!!
+255 713 883 797
(C)KING CHAVALA BLOG