Wednesday, October 31, 2012

T-SHIRT ZA "LAUGH AGAIN CONCERT SERIES" AWAMU YA KWANZA SASA ZIKO SOKONI!!!

HABARI ZENU!!
NAAMINI WOTE NI WAZIMA NA MNAENDELEA VEMA, SASA ULE MZIGO TULIOUNGOJA WA TSHRTS UMESHAFIKA, HII YA AWAMU YA KWANZA KWA WASHIKA DAU WA UKWELI NA WATU WANAOPENDA KUONA LAUGH AGAIN CONCERT SERIES(LACS0 INAKUWA IDEA YA KIMATAIFA!!!
SASA UNAWEZA KUJIPATIA TSHRT YAKO YA RANGI NYEUSI NA RANGI NYINGINE ZITAFUATA SOON, NA KWA SASA TUNA ROUND  TU,ILA AWAMU IJAYO TUTAKUWA NA ZILE ZENYE COLLAR NA HATA LONG AND SHORT SLEEVES ZA "O" AU "V" KUTOKANA NA CHAGUO LAKO!!!!

NA BEI YAKE NI 15,000/= NA 20,000/= TU!!!
KWA YEYOTE ANAYEHITAJI TAFADHALI TUWASILIANE KUPITIA
+255 713 883 797!!

NA KWA UHITAJI MAALUMU UNAWEZA KUPATA HII PIA!!!
.....KARIBUNI SANA!!!!

Sunday, October 21, 2012

NOW THIS BY THE END OF THIS WEEK I WILL BE IN IRINGA!!!!

NAAMINI NITAKUWA NA WAKATI MZURI NA HAWA NDUGU,JAPO KWA MUDA HUO MFUPI!!!

MC CHAVALA AFANYA MAPINDUZI YA MAZOEA YA WENGI(alipocheza KWAITO ya..MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA.... NDANI TAMASHA LA INJILI DAR ES SALAAM!!!!

(MC CHAVALA & THE KING OF STAND UP COMEDY) 

UNAJUA WATU WENGI WAMEKARIRI SANA KUHUSU NAMNA YA KUENDESHA IBAADA AU MATAMSHA,LAKINI KATIKA HILI WATU WALIKUWA HAWANA JINSI ZAIDI KUIMBA NA KIUCHEZA,TENA KWAITO YA ...."MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA.....!!"
                                                                                            

(MC CHAVALA JUKWAANI NA PABLO TOKA ARUSHA WAKISIFU NA KUABUDU PAMOJA NA WAGENI WOTE WAALIKWA)

  TAMASHA HILI LILIKUWA NA MALENGO MAKUU MATATU,1. KUTAMBULISHA NA KUUZA MAONO YA COME AND SEE HAPA TANZANIA 2. KUZINDUA BLOG YAKE NA 3. KUKUSANYA PESA ZA KUANDALIA TAMASHA MAALUM LA WALEMAVU WENYE VIPAJI LITAKALOITWA "WAPENDE WALEMAVU" NA KWA KWA HAKIKA MAMBO HAYO YALIFANIKIWA!!

(MGENI RASMI AKIZINDUA BLOG.....http/;comeandseemusic.blogspot.com)
 
 




Hapa unamuona mgeni rasmi pamoja na wageni maalum wakifuatilia yanayoendelea kwa makini kabisa!!!
(Kutoka kushoto JERRY MURO,RULEA SANGA(blog designer),MGENI RASMI,AFANDE EVA,MCHUNGAJI,EMMANUEL NA MC CHAVALA)

SHUKRANI ZA DHATI ZIWAFIKIE WALE WOTE AMBAO WALIONA NI VEMA MIMI NIENDESHE TAMASHA HILO KAMA MC NA UTUKUFU UBAKI KWA MUNGU BABA MWENYEWE!!!
NA NINA IMANI TUTAENDELEA KUFANYA KAZI ZAIDI NA ZAIDI PAMOJA, KARIBUNI WOTE MNAONA NINAWAFAA PIA POPOTE PALE TANZANI, AFRIKA MASHARIKI NA AFRIKA NZIMA!!
+255 713 883797

AMEN!!!

Thursday, October 18, 2012

MC KING CHAVALA AKISHEREHESHA SEND OFF YA "JACQUELINE MUNUO"

 (MC CHAVALA AKIWATAMBULISHA JACQUELINE NA VIDA MSIMAMIZI WAKE)

HII ILIKUWA SIKU NZURI SANA KWA FAMILIA YA MUNUO WAKATI WAKIMUAGA BINTI YAO MPENDWA JACQUELINE!!!


 UNAJUA HAPA NILIKUWA MSHEREHESHAJI(MC) NA PIA COMEDIAN,SO SIKU ILIKUWA NJEMA MNO,NA UZURI WA SHUGHULI HII NI KUWA HAIKUWA NA KILEVI HATA KIMOJA

 (.....MC CHAVALAAKILA KEKI KWA NIABA YA WAGENI WOTE WAALIKWA)

 (MC CHAVALA PAMOJA NA WATEULE WACHACHE WAKIFUNGUA SHAMPENI)

 (MC CHAVALA AKIWAMIMINIA WAREMBO SHAMPENI)

 ......USIOGOPE JACQUELINE HAINA KILEVI!!!

 (MC CHAVALA AKIWAIMBIISHA WACHAGA NGOMA YAO YA "UKUTI")

 .....AHSANTENI SANA KAMATI YA MAANDALIZI KWA KUNIPA NAFASI YA KUSHEREHESHA SEND OFF YA BINTI YENU MPENDWA!!!


 JACQUELINE AKIMSHUKURU MUNGU BAADA YA KUMALIZA SHEREHE!!!

(MC CHAVALA, JACQUELINE MUNUO NA VIDA WAKIAGA NA KUONDOKA)

....HAPA NDIO MWISHO KABISA WA SHUGHULI YA KUMUAGA JACQUELINE MUNUO, SHUKRANI ZA DHATI KWA JACQUELINE KWA USHIRIKIANO,WAZAZI NA KAMATI KUNIPA NAFASI HII,AHSANTE SANA VIDA KWA KUSIMAMIA VEMA,AHSANTE SANA MWENGE SOCIAL HALL NA MWISHO NIMSHUKURU DJ WANGU ISACK PAMOJA NA MPIGA PICHA WANGU!!
KARIBUNI SANA!!

(c)MC CHAVALA/THE KING OF STAND UP COMEDY
MODERN CEREMONERZ
+255 713 883 797
kingchavala.blogspot.com

Tuesday, October 16, 2012

KiNg cHaVALa did ATTended "KINGDOM LEADERSHIP NETWORK TANZANIA(KLNT)

SHALOM!!
I AM GLADY FOR EVERYBODY!!!
I AM VERY PLEASED TO BE AMONG INVITED GUESTS IN THE VERY IMPORTANT LEADERSHIP SUMMIT entitled as KINGDOM LEADERSHIP TANZANIA(KLNT)
THIS SUMMIT WAS BEEN MINISTERED BY AN INTERNATIONAL MAN OF GOD DR.BERNARD JEHU NWAKA AND REAL THE SUMMIT WAS GREAT AND VERY IMPACTIVE!!!
HERE ARE JUST FEW PICTURES BUT THE SUMMARY OF SPEECHES WILL BE FOUND ON www.gospelstandardbase.blogspot.com
The summit was held at Peacock Hotel,Dar es salaam Tanzania!!

(Dr. Benard Jehu Nwaka)
(Dr.Benard Jehu Nwaka with Isack,the visionery of KLNT)

 (King Chavala(MC) with Samuel Sasali a.k.a Papaa,The Blogger)

 (President Chavala)

(Fredy E. Chavala with Glory Mziray)


















Mr. President Chavala

Monday, October 15, 2012

CHEKA TENA NA KING CHAVALA!!

KASUMBA YA UKALIMANI(SWAHILI-ENGLISH)
Man: habari zenu
Man2: Your news
Man: Leo nina furaha sana kuwepo hapa...
Man2: Today i have very happiness to be here...
Man: Maana mradi huu tuliungoja sana lakini sasa umekamilika...
Man2: Meaning this project we waited for long but now it is completed...
Man: HAYAWI HAYAWI......SASA YAMEKUWA!!!
Man2: THEY ARE NOT THEY ARE NOT......AND NOW THEY ARE!!!
hahahahahahahahahahah
(kweli yaacheni mawe yaitwe mawe)
 http://www.facebook.com/groups/lacs.project/

CHEKA TENA NA KING CHAVALA

 
 .....NASHINDWA KUEREWA...KAMA NI "ERO' YA A'ARA" AMA "ARA" YA "ERO"
NAKUMBUKA NILIPOKUWA SEKONDARI, KULIKUWA NA MWALIMU WANGU WA KISWAHILI AMBAYE NI MWENYEJI WA MKOA FULANI na hizi ndizo zilikuwa zake
(hapa nimeandika kama ambavyo anasikika na cha ajabu yeye ndio mkosoaji)

TATIZO RA RAFUZI YA RUGHA MAMA IMEKUWA SHIDA, WATU WANASHINDWA KUONGEA KISWAIRI KABISA.....YAANI WATU WENGI NAWASHANGAA SANA, ETI KWENYE "ERO" WANAWEKA "ARA" NA KWENYE "ARA" WANAWEKA "ERO"...SASA UNASHINDWA KUEREWA, KUWA WANAMAANISHA "ERO" YA 'ARA" AMA "ARA" YA "ERO".........na kwasababu hiyo hata maneo wanayoyasema YANARETA MAANA ZA MKANGANYIKO; UTAMSIKIA MTU ANASEMA
1."SIRI" SASA UNASHINDWA KUEREWA AMEMAANISHA "SIRI" YA KUGOMA KURA CHAKURA AMA "SIRI" YA KUFICHA MAMBO MOYONI...AU
2."KURA" sasa UNASHINDWA KUEREWA AMEMAANISHA KURA YA KURA CHAKURA AMA KRA YA KUCHAGUA....WHY? KWASABABU ERO NA ARA MNAZICHANGANYA ETI HUYU NAE NAE ANASEMA
3."KARAMU" SASA TUNASHINDWA KUEREWA ANAMAANISHA KARAMU YA SHUGHURI AU KARAMU YA KUANDIKIA!!!
JIFUNZENI KISWAIRI NDUGU ZANGU, HIYO NDIO RUGHA YENU!!!

basi nilikua nachekaje hahahaha na nilivyokuwa ninammiss class!!!!

........NAJUA WENGI MTA-RIKE, LAKINI NASHINDWA KUEREWA MNA-RILE KWA ARA YA ERO AU ERO YA ARA HAHAHAHAH!!

CHEKA TENA NA KING CHAVALA



Habari yako rafiki!!!
Naamini u mzima wa afya,leo natamani niseme jambo kidogo tu kwa
kuanzia na hii inawahusu watu fulani ambao walikuwa wanapumzika pamoja
ufukweni mwa bahari maeneo ya kigamboni-Dsm!
Basi mmoja alikuwa amekaa akitafakari kwa kina sana huku akiangalia
bahari, mara akaja mwenzake mmoja na kummuliza;
Kijana1: Unawaza nini aisee mbona kama uko mbali sana???
Kijana2: Dah! yaani hapa nawaza kama hii bahari ingekuwa Supu, sijui
ningeweza kuinywa na chapati ngapi!!
Kijana1: Mmmh hahaha wewe ndio sifuri kabisa aisee, yaani unawaza
bahari ingekuwa supu dah!
Kijana2: Sasa wewe unacheka nini? kwani kitu gani cha ajabu hapo?
unajua mimi sipendi dharau!
Kijana1: Aaah acha ujinga wewe, sasa kama bahari hiyo ingekuwa supu
wewe unafikiri moto wa kupikia ungewashwa wapi? na hizo chapati
zingewekwa wapi? hujui kama hizo chapati zingeharibu nyumba za watu
maana zingefunika kila mahali?

Hapo unaweza kudhani labda Kijana1 ana akili sawasawa kumbe mmmh,
maana baada ya muda akasikia yeye akisema
Kijana1: Yaani ningekuwa na pesa, ningenunua bahari yote hii
Kijana2: Hamna kitu wewe,hata kama Biligate angekuwa houseboy wako
huwezi my dear!
Kijana1(akapaniki) kwanini unasema siwezi? kwanini unassiwezi?
Kijana2: Kwasababu mimi siuzi!!

hahahahahaha haya mpaka wakati mwingine Tchaoooo!!!!!

Tuesday, October 9, 2012

HERE ARE STRATEGIES FOR STRESS MANAGEMENT!!!!!


Stress management strategy #1: 

Avoid unnecessary stress

Not all stress can be avoided, and it’s not healthy to avoid a situation that needs to be addressed. You may be surprised, however, by the number of stressors in your life that you can eliminate.


  • Learn how to say “no” – Know your limits and stick to them. Whether in your personal or professional life, refuse to accept added responsibilities when you’re close to reaching them. Taking on more than you can handle is a surefire recipe for stress.


  • Avoid people who stress you out – If someone consistently causes stress in your life and you can’t turn the relationship around, limit the amount of time you spend with that person or end the relationship entirely.
  • Take control of your environment – If the evening news makes you anxious, turn the TV off. If traffic’s got you tense, take a longer but less-traveled route. If going to the market is an unpleasant chore, do your grocery shopping online.
  • Avoid hot-button topics – If you get upset over religion or politics, cross them off your conversation list. If you repeatedly argue about the same subject with the same people, stop bringing it up or excuse yourself when it’s the topic of discussion.
  • Pare down your to-do list – Analyze your schedule, responsibilities, and daily tasks. If you’ve got too much on your plate, distinguish between the “shoulds” and the “musts.” Drop tasks that aren’t truly necessary to the bottom of the list or eliminate them entirely.

Stress management strategy #2: 

Alter the situation

If you can’t avoid a stressful situation, try to alter it. Figure out what you can do to change things so the problem doesn’t present itself in the future. Often, this involves changing the way you communicate and operate in your daily life.
  • Express your feelings instead of bottling them up. If something or someone is bothering you, communicate your concerns in an open and respectful way. If you don’t voice your feelings, resentment will build and the situation will likely remain the same.
  • Be willing to compromise. When you ask someone to change their behavior, be willing to do the same. If you both are willing to bend at least a little, you’ll have a good chance of finding a happy middle ground.
  • Be more assertive. Don’t take a backseat in your own life. Deal with problems head on, doing your best to anticipate and prevent them. If you’ve got an exam to study for and your chatty roommate just got home, say up front that you only have five minutes to talk.
  • Manage your time better. Poor time management can cause a lot of stress. When you’re stretched too thin and running behind, it’s hard to stay calm and focused. But if you plan ahead and make sure you don’t overextend yourself, you can alter the amount of stress you’re under.

Stress management strategy #3: 

Adapt to the stressor

If you can’t change the stressor, change yourself. You can adapt to stressful situations and regain your sense of control by changing your expectations and attitude.

  • Reframe problems. Try to view stressful situations from a more positive perspective. Rather than fuming about a traffic jam, look at it as an opportunity to pause and regroup, listen to your favorite radio station, or enjoy some alone time.
  • Look at the big picture. Take perspective of the stressful situation. Ask yourself how important it will be in the long run. Will it matter in a month? A year? Is it really worth getting upset over? If the answer is no, focus your time and energy elsewhere.
  • Adjust your standards. Perfectionism is a major source of avoidable stress. Stop setting yourself up for failure by demanding perfection. Set reasonable standards for yourself and others, and learn to be okay with “good enough.”
  • Focus on the positive. When stress is getting you down, take a moment to reflect on all the things you appreciate in your life, including your own positive qualities and gifts. This simple strategy can help you keep things in perspective.

Stress management strategy #4: 

Accept the things you can’t change

Some sources of stress are unavoidable. You can’t prevent or change stressors such as the death of a loved one, a serious illness, or a national recession. In such cases, the best way to cope with stress is to accept things as they are. Acceptance may be difficult, but in the long run, it’s easier than railing against a situation you can’t change.
  • Don’t try to control the uncontrollable. Many things in life are beyond our control— particularly the behavior of other people. Rather than stressing out over them, focus on the things you can control such as the way you choose to react to problems.
  • Look for the upside. As the saying goes, “What doesn’t kill us makes us stronger.” When facing major challenges, try to look at them as opportunities for personal growth. If your own poor choices contributed to a stressful situation, reflect on them and learn from your mistakes.
  • Share your feelings. Talk to a trusted friend or make an appointment with a therapist. Expressing what you’re going through can be very cathartic, even if there’s nothing you can do to alter the stressful situation.
  • Learn to forgive. Accept the fact that we live in an imperfect world and that people make mistakes. Let go of anger and resentments. Free yourself from negative energy by forgiving and moving on.

Stress management strategy #5:

 Make time for fun and relaxation

Beyond a take-charge approach and  positive attitude, you can reduce stress in your life by nurturing yourself. If you regularly make time for fun and relaxation, you’ll be in a better place to handle life’s stressors when they inevitably come.

Healthy ways to relax and recharge

  • Go for a walk.
  • Spend time in nature.
  • Call a good friend.
  • Sweat out tension with a good workout.
  • Write in your journal.
  • Take a long bath.
  • Light scented candles.
  • Savor a warm cup of coffee or tea.
  • Play with a pet.
  • Work in your garden.
  • Get a massage.
  • Curl up with a good book.
  • Listen to music.
  • Watch a comedy.
Don’t get so caught up in the hustle and bustle of life that you forget to take care of your own needs. Nurturing yourself is a necessity, not a luxury.
  • Set aside relaxation time. Include rest and relaxation in your daily schedule. Don’t allow other obligations to encroach. This is your time to take a break from all responsibilities and recharge your batteries.
  • Connect with others. Spend time with positive people who enhance your life. A strong support system will buffer you from the negative effects of stress.
  • Do something you enjoy every day. Make time for leisure activities that bring you joy, whether it be stargazing, playing the piano, or working on your bike.
  • Keep your sense of humor. This includes the ability to laugh at yourself. The act of laughing helps your body fight stress in a number of ways.

Stress management strategy #6: 

Adopt a healthy lifestyle

You can increase your resistance to stress by strengthening your physical health.
  • Exercise regularly. Physical activity plays a key role in reducing and preventing the effects of stress. Make time for at least 30 minutes of exercise, three times per week. Nothing beats aerobic exercise for releasing pent-up stress and tension.
  • Eat a healthy diet. Well-nourished bodies are better prepared to cope with stress, so be mindful of what you eat. Start your day right with breakfast, and keep your energy up and your mind clear with balanced, nutritious meals throughout the day.
  • Reduce caffeine and sugar. The temporary "highs" caffeine and sugar provide often end in with a crash in mood and energy. By reducing the amount of coffee, soft drinks, chocolate, and sugar snacks in your diet, you’ll feel more relaxed and you’ll sleep better.
  • Avoid alcohol, cigarettes, and drugs. Self-medicating with alcohol or drugs may provide an easy escape from stress, but the relief is only temporary. Don’t avoid or mask the issue at hand; deal with problems head on and with a clear mind.
  • Get enough sleep. Adequate sleep fuels your mind, as well as your body. Feeling tired will increase your stress because it may cause you to think irrationally.\   
  • HOPE YOU WILL FIND SOLUTIONS TO YOUR CHALLENGES!!!

Wednesday, October 3, 2012

King Chavala to visit TUMAINI AND RUCO in IRINGA 19-21/10/2012 with PURE MISSION!!!!

HONESTLY I THANK YOU GOD FOR VAST OF 
OPPORTUNITIES TO SAVE THE KINGDOM AND PREPARING THE FUTURE TANZANIA!!!
I HAVE VISITED AND SPOKEN TO VERY MANY COLLEGES AND UNIVERSITIES' STUDENTS IN EAST AFRICA AND THE JOURNEY IS CONTINUING!!!
WITH WHOEVER, WHEREVER AND WHENEVER I HAVE TIME I WILL WORK HARD TO WRITE, TO SPEAK(MOTIVATE), TO SHOW, TO PERFORM, TO COACH UNTIL WHEN WE WILL GET PEOPLE WITH PURE POSITIVE MINDSET TOWARD THE FUTURE AND PEOPLE WHO WILL INVEST ON THEIR GIFTS AND TALENTS!!!
HELLOW FRIENDS IN IRINGA, NAJA KWENU!!!!