Saturday, November 3, 2012

KING CHAVALA(mc/comedian) AHUDHURIA NA KUHUDUMU KATIKA MKESHA WA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA MOROGORO "NIGHT OF IMPACT"!!!

SHALOM ALL PEOPLE!!!
NATUMAI MU WAZIMA NA BUHERI WA AFYA!!
NILISAFIRI KIDOGO KWENDA HAPO MOROGORO KWASABABU YA HUDUMA NA ASUBUHI YAKE NIKAREJEA JIJINI DAR ES SALAAM!!!
MC CHAVALA/COMEDIAN CHAVALA ON STAGE
 (KING CHAVALA AKIFANYA COMEDY NDANI YA 88 GLONENCY)

MWISHONI WA WEEK HII(TAREHE 2 KUAMKIA 3 YA NOVEMBA)
BWANA ALINIPA KIBALI CHA KUHUDHURIA MKESHA MKUBWA WA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA MOROGORO AMBAO ULIANDALIWA NA "INSIGHT FOR IMPACT"
(MOROGORO UNIVERSITY STUDENTS IN KESHA)
MKESHA HUU ULIFANYIKA KATIKA HOTEL YA 88 GLONENCY NA ULIHUDHURIWA NA MAMIA YA WANAFUNZI!!
(KING CHAVALA DOING STAND UP COMEDY)
TIMU YA KUSIFU NA KUABUDU YA PAMOJA ILIONGOZA SIFA NA WAIMBAJI MBALIMBALI BINAFSI WALIPATA BAHATI YA KUHUDUMU IKIWEMO NA KWAYA YA CHUO KIKUU CHA MZUMBE.
(KING CHAVALA,TONNY,SHEMEJI NA WENGINEO)
UJUMBE WA NENO LA MUNGU ULITOLEWA NA MTUMISHI WA MUNGU ANTONY KAPOLA MAARUFU KAMA "TONNY"
IBAADA ILIKUWA NJEMA SANA YA MAHUBIRI YALIKUWA YAKUCHEKESHA MNO LAKINI YA KUJENGA SANA!!
(PEOPLE IN WORSHIP)
NILIFURAHI SANA KUONA UMATI WA VIJANA WALIO TAYARI KUTENGA MUDA WAO KWA AJILI YA BWANA!!
NAMIMI NILIPATA BAHATI YA KUHUDUMU HAPO NA WATU WALIFURAHI MNOO!!! (MTUMISHI TONNY MADHABAHUNI.....HAKIKA ANAMPENDA MUNGU)
INSIGHT FOR IMPACT........i live to impact my generation!!!

(MOROGORO MASS PRAISE TEAM IN WORSHIP)
 KWAKWELI WEEKEND YANGU ILIISHA VEMA, AHSANTENI SANA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI KATIKA KRITO YESU!!
KWAKWELI NILIFURAHIA MNO NA BWANA AWABARIKI WOTE SAWASAWA NA NENO LAKE KWA KABDRI YA KUJITOA KWENU,IMANI ZENU NA NGUVU ITENDAYO KAZI NDANI YENU!!!
 AHSANTE!!

KING CHAVALA
(MC/STAND UP COMEDIAN)
+255 713 883797

2 comments:

  1. King, mbona cjaona night compass ya singida?

    ReplyDelete
  2. tupia bwana tuzione shangwa za watu wa singida

    ReplyDelete