Monday, May 25, 2015

LAUGH AGAIN CONCERT.....NYANDA ZA JUU KUSINI IMEANZA VEMA SANA!

Nehemia Hango (Mc Ben)....Upcoming Comedian!

Princes Hilda Chavala katika pozi la picha

King Chavala na Dr L Maboko

 Wadau wa Tamasha katika picha!

wacha weeeeeee
 Ninaubariki Uchumba huuu kama Uko serious lakini!
 Watu wakacheka na kucheka kisha kucheka tena!

Baba Triple J nayeye alikuwepo aiseeee


 I need Space aiseeeee

Queen Happiness wa Chavala kati


Freppiness Royal Family

King and Queen Chavala




Add caption



Irene nayeye alikuwepo!


TUNAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUTUWEZESHA KUFANIKISHA SHUGHULI HII, AHSANTE KWA MAPOKEZI MAZURI YA LACS MBEYA NA NYANDA ZA JUU KUSINI!
AHSANTE KWA KILA ALIYESHIRIKI KWA NAMNA YEYOTE ILE!

Hotline 0713 883797

No comments:

Post a Comment