Thursday, August 8, 2013

GOOD MOMENTS WITH YOUTH KINGDOM MINISTRIES (YKM) AND BISHOP SAMSON MKUYU IN DODOMA!!

Bishop Rev. Samson Mkuyu
 BWANA AMENIPA KIBALI CHA KUHUDUMU NDANI YA YKM NA JUMAPILI ILIYOPITA TIMU YA KUSIFU NA KUABUDU ILIHUDUMU KWENYE KANISA LA BABA ASKOFU SAMSON MKUYU.
Bishop Rev.Samson Mkuyu & King Chavala (MC)
 HAPA NIKIWA NA ASKOFU BAADA YA IBAADA YA TATU, KANISA HILI LINA IBAADA NNE KAMILIFU.
 Ninakushukuru sana Baba Askofu.....
 TIMU YA KUSIFU NA KUABUDU YA YKM IKIHUDUMU NDANI YA KANISA LA TAG CAPITAL CHRISTIAN CENTRE,DODOMA.
 WAUMINI WAKIWA NA UTULIVU IBADANI...
 VIONGOZI WAPYA WA YKM KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WAKIWEKWA WAKFU NDANI YA MADHABAHU YA TCCC.
 SIANGUKI NG'OOOO!
 MUNGU WA KWELI NA HAPA ANAPATIKANA PIA.....
 HAPA NDIO NYUMBANI KWA BWANA.....
King Chavala, Raphael Lyela & Jecta Joram
 NILIPATA BAHATI YA KUPIGA PICHA NA WATUMISHI HAWA WAKUBWA WA MUNGU MKUBWA; Raphael ndio mbeba maono na muanzilishi wa YKM na Jecta ndio mkurugenzi mkuu wa YKM,Tanzania.
 KATIKA POZI LA PICHA...
 HAPPINESS KATIKA UWEPO WA BWANA....
 GRACE, TABITHA NA IRENE NA NYUMA YAO AKIWEPO STELLA....WAKIZINGATIA YANAENDELEA NDANI YA IBAADA.
 GLORY JOHNSON NA NYUMA YAKE NI ELIUD WOTE WAKIWA NA UTULIVU MKUBWA..
 MUDA WA TAFAKURI PAMOJA....


 NIMEPENDA UTULIVU WAO KATIKA KUSIKILIZA.....
 PICHA YA PAMOJA YA YKM MEMBERS WALIOSHIRIKI GATHERING YA MWAKA HUU
YKM MEMBERS
 YKM....JESUS UP!!!
 VIONGOZI WA KITAIFA KATIKA PICHA YA PAMOJA!!
NATIONAL LEADERS OF YKM IN PHOTO!

KWA HAKIKA NIMEKUWA NA WAKATI MZURI SANA DODOMA KATIKA HUDUMA HII NA NINAMTUKUZA MUNGU KWA MAONO HAYA MAKUBWA...YKM NI HUDUMA AMBAYO IMEAMUA KUMTANGAZA KRISTO KWA NJIA YA MITANDAO YA SIMU NA YA KIJAMII ILI KUKIFIKIA KIZAZI KIPYA NA MPAKA SASA WAMESHAFIKA MIKOA 16 YA TANZANIA NA KUWAFIKIA ZAIDI YA VIJANA 2000 NA BADO MTANDAO UNAZIDI KUKUA, MUNGU AWABARIKI SANA!!

NA MIMI NI MTENDA KAZI PAMOJA NANYI NIKIWA NA MUNGU MKAZI,YESU KRISTO, HIVYO WAKATI WOWOTE NIPO TAYARI KUTUMIKA NANYI,AMEN!!

KING CHAVALA MC
+255 713 883 797
Facebook; King Chavala MC

2 comments:

  1. Sikuwahi Tazama hii. HAKIKA BWANA AMETUTOA MBALI. ASANTE SANA UNCLE KWA UPENDO WAKO

    ReplyDelete
  2. Sikuwahi Tazama hii. HAKIKA BWANA AMETUTOA MBALI. ASANTE SANA UNCLE KWA UPENDO WAKO

    ReplyDelete