NAITWA CHAVALA,MIMI NI MTANZANIA MZALENDO NA MWANAHARAKATI WA MAENDELEO YA VIJANA NA BIASHARA!!!
Bwana amenipa kibali cha kumtumikia katika maeneo mengi!
Na zaidi amenibariki kwa vipaji vingi ambavyo kwavyo ninamtukuza Bwana kila siku!
Kwa taaluma mimi ni Mtaalamu Mshauri wa mambo yote ya Biashara na Utawala (Business&Management Consultant)
#Hivyo ukiwa na uhitaji wowote uhusuo ushauri wa kibiashara na maswala ya kiutawala kwenye Biashara au Ofisi yako mahali popote usisite kuwasiliana nami.
Kwa huduma ni MWALIMU WA NENO LA MUNGU, hivyo pia kukiwa na semina au ibaada yeyote huko kanisani kwako au kwenu, sana sana zenye mlengo wa mambo ya kiuchumi,kibiashara,kimahusiano na kiutawala hasa hasa kwa vijana.
FREDY E. CHAVALA
Business & Management Consultant
Great Potentials Ltd
Box 34048,
DAR ES SALAAM
+255- (713/753/787) -887 797
E-mail; lacs.project@gmail.com
www.facebook.com/chavalapf
Kwa zaidi ya miaka kumi sasa nimekuwa MC(Mshereheshaji) wa matukio mbalimbali ya kiserikali,kitaasisi na kidini mfano harusi,send off,mahafali,mikutano,matamasha,tafrifa na matukio kadha wakadha; nimezunguka sana kwenye nchi hii kwa kazi hii na bado ninaendelea na majukumu hayo na zaidi kwa sasa ninafundisha wengine wanaopenda kuwa washereheshaji bora.
The king Of Stand Up Comedy)
Modern Ceremoners
Box 34048,
DAR ES SALAAM
+255- (713/753/787) -887 797
E-mail; lacs.project@gmail.com
www.facebook.com/chavalapf
Nimebarikiwa na kipaji cha UCHEKESHAJI(COMEDY) na zaidi nimeboresha kwa kujifunza na sasa nafanya kampeni ya kutambulisha VICHEKESHO VYA KIKRISTO na VIPAJI ASILIA katika nchi ya Tanzania,nilianza kampeni hii rasmi muda mrefu lakini angalau 2005 ilianza kuonekana, 2007 nikapanda daraja zaidi na nikatambulisha CHRISTIAN STAND UP COMEDY kwenye jukwaa kubwa la CAMPUS NIGHT 2009 na kutoka hapo mambo yamekuwa mazuri sana na kampeni inaendelea kwa nchi nzima...nimeanzisha mfululizo wa matamasha maalum ya Comedy na Natural talents Tanzania yaitwayo LAUGH AGAIN CONCERT SERIES.
(CLOWN CHAVALA,The King Of Stand Up Comedy)
Zaidi Naimba pamoja kuandika nyimbo na kazi mbalimbali za sanaa kama vile Mashairi,Hadithi pamoja na michezo ya kuigiza!
So unaweza kunialika tamashani kuhudumu au kufundisha waimbaji walio huko!
Naandika makala na Vitabu Mbalimbali vya kusaidia watu kupata Elimu zaidi ya ile rasmi ya Darasani
kwa mfano kuhusu maadili,Kujitegemea,mahusiano na Biashara
Kwa yote haya,kwa mwaliko,kwa ushauri au maoni kwa jambo lolote lile
Unaweza kuwasilana nami kupitia anuani
Mwimbaji CHAVALAAA
FREDY E. CHAVALA
(MC/CLOWN CHAVALA/PRESIDENT CHAVALA

(Business & Management Consultant) |

(MC President CHAVALA)
(MC/CLOWN CHAVALA/PRESIDENT CHAVALAThe king Of Stand Up Comedy)

No comments:
Post a Comment