Monday, April 30, 2012

CLOWN CHAVALA, FOUNDING COMEDY IN FOF ARUSHA!!

Shalom all my friends,fun and relatives!!
I am glad to be part of first group  of people who has make a history of initiating Friends On Friday in Arusha!
(Clown Chavala,The King of Stand Up Comedy at the platform)

This very special gathering was held at THE CHARITY HOTEL,SAKINA
No. of members from DSM and tens of people from Arusha gathered at that good night for the Glory of God!!

......YOU CAN'T PRESENT QUALITY CHRISTIAN COMEDIES WITHOUT WORD OF GOD IN YOU!!!


There are moments which are so unique and when they pass,you if they could be existing all the time!
Though i was moderating this event, i real enjoyed the day and i also enjoyed ample time to perform STAND UP COMEDY!!

As well as explaining how good it is  and how it suppose to be to be called Christian/Gospel Comedy!!
There is very great difference between Christian Comedians and Christian Comedies!
I will explain well in coming days!

Sunday, April 22, 2012

.......MODERATION(MC) IS AN ART!!!!...AND IN CHRISTIAN WORLD,IT MEANS A SERVANTHOOD!!!!

Shalom!
i am very glad to be among the chosen moderators(MC)....Messenger of Christ in Tanzania!
Soon after Easter i had good time with Intellectuals in Arusha at an event that was titled as
NIGHT OF TRANSFORMATION!!
 (The Voice of Lord toka Uhasibu Arusha wakituongoza katika KUSIFU NA KUABUDU)


(Interview with Brother Kingu and Tonny with Chavala at the middle)
 
(Antony Kapola akifanya maombezi kwa Mwanafunzi mwenye Ulcers)
 
Tukijaribu kujadili namna ambayo Vijana wanaweza kuishi katika Ukristo na maisha ya wokuvu!!!

Lakini pia ijumaa iliyopita nilipata nafasi ya kusherehesha ibaada nyingine SUA

SUA Students in Multipurpose hall during NIGHT OF IMPACT

Friday, April 20, 2012

.....WEEKELY COMIC STORIES!!!!!

COMING SOOOOOOON!!!
Apart from many things that the world have ever known!
Apart from personal trips and tours informations
events organized!
We will be having stori mbili tatu za comedy!!
mfano'

........NI LIPI KATI HAYA NI JAMBO LA KIJINGA ZAIDI??
1.KUMWAMSHA MGONJWA ILI UMPE DAWA YA USINGIZI
2.KUPUNGUZA SAUTI YA TV/RADIO ILI USOME TEXT KWA SIMU YAKE
3.KUNG'ARISHA VIATU ILI UKAPIGE PASSPORTSIZE

Tena utete kwa maelezo..unaweza kupata zawadi!!!.......VIJANA BANGI MBAYA.OKOKENI AISEEE!!!!
Kulikuwa na vijana fulani chini ya mti wa maembe ambao walikuwa wanatumia bangi,wakati wakiendelea mara wakaona kama kuna embe limeiva hivi
Kijana mmoja: WANA ONA TUNDAAAAAA
Wengine; AAAA KWELI AISEEE
basi wakaanza kurusha mawe ili walichume,lakini walipochoka bila kuliangusha
mmoja akasema
WANAAA LAKINI LIMEIVAA? NGOJA NIPANDE NIKALICHEKI!!
Basi akapanda mpaka juu na akalifikia na alichokifanya akaliminya tu na akagundua kuwa limeiva na zaidi akashuka bila kulichuma na kuwambia wenzie
WANAA LIMEIVAAA!!!
wakajibu poa pisha basi tusijetukakuumiza!!

KAMA WALIWEZA KULICHUMA MIMI SINA HAKIKA!!!
ILA VIJANA BANGI NI MBAYA NAOMBA TUOKOKENI!!!!

Monday, April 16, 2012

......IS CHAVALA AND COMEDY SEPARABLE???


Hivi ndivyo ninavyofanya.......

Watu wengi wanashindwa kutofautisha ni wakati gani niko serious na ni wakati gani niko kisanaa!
na hiiimenipa tabu wakati mwingine,maana hata nikiwa nina haja au hitaji la msingi kutoka kwa marafiki huchukulia utani hali mwenzao naghafirika!!
nachelewa kupata mchumba kwasababu hiyo hiyo pia

JE WEWE UNAWEZA KUTOFAUTISHA KATI CHAVALA NA COMEDY???

I DO LOVE MY LIFE!!!

MAISHA SIYO MUENDELEZO WA MAANA ZA VITABUNI,ILA MUENDELEZO AU MABORESHO YA TAFSIRI YA MAISHA INAPASA KUTOKANANA VILE TUNAVYOFANYA KILA SIKU!!
NINAYAPENDA SANA MAISHA YANGU NA KILA SIKU SIACHI KUMTUKUZA MUNGU KWA KILA KITU,YAANI ULIMWENGU HUU UMEJAA MAMBO YA KUSHANGAZA NA MWISHO HUBAKI TU KUSEMA MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU!!!

Monday, April 9, 2012

......SOMETIME I DON'T BELIEVE MY EYES!!!!


In this world wonders shall never end!
i have moved around in this world and now i have a word!
Not everything i see and know.......is truly what it is!!

can you believe this?

CAN a snake be your friend?(Clown Chavala,the king of Stand Up Comedy with a friend snake

I have real enjoyed my life in Masai Land!
People with very less privileges materially but very rich of real Love!

Clown Chavala having noon tea in masai land!!


I have never known that even very big animals and dangerous ones
start their lives by being young !!
Clown Chavala just by the side of crocodiles kids!!!