Monday, March 18, 2013

CHAI YA ASUBUHI MAALUM KWA AJILI YA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA KUNYWEWA TAR 06/04/2013!!


  • City Harvest Church Auditorium at Victoria petrol station,Gereji,Mandela road,Dar es salaam

  • Hii ni fursa ya kipekee ambayo itawakutanisha waimbaji wote wa nyimbo za injili walio Dar au watakaobahatika kuwa Dar kwa kuanzia kwa ajili ya ushirika wa Neno,ushauri,kutiana moyo,kufahamiana,maombi na chai nzito ya pamoja!!

    Je ungependa kuimba kwa kushirikiana na wenzako?ama ungependa kumiliki Blog au tovuti?,je ungependa kujitangaza kwa mitandao? Je ungependa kuwa wa kimataifa?.....basi hii ni nafasi ya kipekee sana!!

    KUNA MAMBO MENGI SANA YA KUJIFUNZA KATIKA DHIFA HII,HIVYO WEWE UKIWA KAMA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AITHA BINAFSI,KUNDI AU KWAYA,UNAYECHIPUKIA AU UNAYETAMANI KUANZA PAMOJA NA WEWE UNAYEFAHAMIKA SANA!!
    Wazo hili limetoka "Chavala Ideas Platform"
    na linasimamiwa na kudhaminiwa na
    Blog ya kikristo: Gospel Standard Base (GoStaBa Blog)

    Dhifa hii itafanikiwa sana kama kila mshiriki akiwa na mchango wa Angalau 5000/=(hiho kiwango sio kiingilio,hivyo unaweza kutoa zaidi kama unawiwa,karibu sana)

    Tafadhali ukipata ujumbe huu mwalike na mwenzako
    +255-(713/753)-883797

No comments:

Post a Comment