LEO TAR 01ST OCTOBER 2013!!
NI SIKU MAALUM KWA KIJANA WETU EMMANUEL MATHIAS-MC PILIPILI, KWANI ANASHEREKEA KUMBUKUMBUKU YAKE YA KUZALIWA MIAKA KADHAA ILIYOPITA...JAPO SIO MINGI KIVIILE!
TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUMWEKA HAI NA MZIMA WA AFYA,LAKINI PIA HATUSITI KUTAMBUA KUWA SIKU ZAKE KATIKA HISTORIA ZINAONGEZEKA NA KUFIKIA MWISHO ZINAPUNGUA!
KIJANA HUYU MACHACHARI ALIYEACHANA NA KAZI YA UALIMU NA KUAMUA KUISHI KWA KIPAJI CHAKE,YAANI U-MC NA UCHEKESHAJI,JINA LAKE LIMEENDELEA KUKUA NA KUONGEZEKA KILA LEO,BASI NASI HATUNA BUDI KUFURAHI PAMOJA NAYE KATIKA SIKU HII NZURI,HALI BINAFSI AKIHESABU MAFANIKIO SAWASAWA NA MALENGO YAKE ALIYOKUWA AMEJIWEKEA KUFIKIA LEO!!
NI MUHIMU SANA KWA KUZINGATIA HEKIMA HIZI TATU MAALUM;
1.“Today you are You, that is truer than true. There is no one alive who is Youer than You.”
Theodor Seuss Geisel (1904-1991);
Writer, Cartoonist, Animator
2.“There is neither happiness nor unhappiness in this world; there is merely the comparison of one state to the other. Only a man who has felt ultimate despair is capable of feeling ultimate bliss.”
Alexandre Dumas (1802-1870);
Writer, Author.
3.“Self-acceptance comes from meeting life's challenges vigorously. Don't numb yourself to your trials and difficulties, nor build mental walls to exclude pain from your life. You will find peace not by trying to escape your problems, but by confronting them courageously. You will find peace not in denial, but in victory.”
Swami Sivananda (1887-1963);
Spiritual Leader, Author, Physician
HAPPY BIRTHDAY MY DEAR FRIEND!!
MUNGU AKUPE MACHO UONE YALE YOTE YAKUPASAYO KUONA NA KUYAFIKIA KWA UTUKUFU WA MUNGU!
USIJARIBU KUISHI KWA KUSHINDANA NA YEYOTE WALA KUISHI KUTAKA KUMPENDEZA YEYOTE BALI ISHI KUSUDI LAKO UKIMPENDEZA MUNGU!
MUNGU AKUTANE NA HAJA ZA MOYO WAKO,HATA ZILE AMBAZO HUJAMWAMBIA YEYOTE!
NIKUTAKIE MAISHA MEMA,MAREFU YENYE HESHIMA KWA MUNGU!!
NAKUPENDA!
By kINg cHAaVala (MC)
+255 713 883797