Friday, September 6, 2013

Le AFRICAN ADVENTURE!!

KING CHAVALA MC
 .....THIS IS TO SHOW HOW AFRICAN CULTURE IS BEAUTIFUL!!!
 NA HIZI NDIO NYUMBA ZA ASILI ZA JAMII YA KIAFRIKA YA KIDATOGA!
 JAMII HII YA KOISAN (BUSHMEN).....TANZANIA WAKO WAHADZABE....HAWA HULA NYAMA NA MATUNDA TU NA HII JUICE YA UBUYU NA ASLI...
 ......HAWA NI WATU WALIOSHIRIKI MARATHON HUKO HYDOM!
 ....NGOMA YA WADATOGA!!
 ......NA HAWA NI WABARABEIG....!!

NIMEPATA BAHATI YA KUSEMA NA KUONGEA NA JAMII KUBWA ZA KIAFRIKA AMBAZO HATA KISWAHILI NI SHIDA!
JAMANI TEMBEENI AFRIKA MJIONEE UTAJIRI NA UZURI WA UTAMADUNI WA KIAFRIKA!!

No comments:

Post a Comment