Monday, April 16, 2012

......IS CHAVALA AND COMEDY SEPARABLE???


Hivi ndivyo ninavyofanya.......

Watu wengi wanashindwa kutofautisha ni wakati gani niko serious na ni wakati gani niko kisanaa!
na hiiimenipa tabu wakati mwingine,maana hata nikiwa nina haja au hitaji la msingi kutoka kwa marafiki huchukulia utani hali mwenzao naghafirika!!
nachelewa kupata mchumba kwasababu hiyo hiyo pia

JE WEWE UNAWEZA KUTOFAUTISHA KATI CHAVALA NA COMEDY???

No comments:

Post a Comment