Friday, April 20, 2012

.....WEEKELY COMIC STORIES!!!!!

COMING SOOOOOOON!!!
Apart from many things that the world have ever known!
Apart from personal trips and tours informations
events organized!
We will be having stori mbili tatu za comedy!!
mfano'

........NI LIPI KATI HAYA NI JAMBO LA KIJINGA ZAIDI??
1.KUMWAMSHA MGONJWA ILI UMPE DAWA YA USINGIZI
2.KUPUNGUZA SAUTI YA TV/RADIO ILI USOME TEXT KWA SIMU YAKE
3.KUNG'ARISHA VIATU ILI UKAPIGE PASSPORTSIZE

Tena utete kwa maelezo..unaweza kupata zawadi!!!.......VIJANA BANGI MBAYA.OKOKENI AISEEE!!!!
Kulikuwa na vijana fulani chini ya mti wa maembe ambao walikuwa wanatumia bangi,wakati wakiendelea mara wakaona kama kuna embe limeiva hivi
Kijana mmoja: WANA ONA TUNDAAAAAA
Wengine; AAAA KWELI AISEEE
basi wakaanza kurusha mawe ili walichume,lakini walipochoka bila kuliangusha
mmoja akasema
WANAAA LAKINI LIMEIVAA? NGOJA NIPANDE NIKALICHEKI!!
Basi akapanda mpaka juu na akalifikia na alichokifanya akaliminya tu na akagundua kuwa limeiva na zaidi akashuka bila kulichuma na kuwambia wenzie
WANAA LIMEIVAAA!!!
wakajibu poa pisha basi tusijetukakuumiza!!

KAMA WALIWEZA KULICHUMA MIMI SINA HAKIKA!!!
ILA VIJANA BANGI NI MBAYA NAOMBA TUOKOKENI!!!!

No comments:

Post a Comment