Saturday, May 19, 2012

....ANOTHER SEMINA (EMPOWERING AND INSPIRING YOUTH) BY ARUSHA CHRISTIAN NETWORK WITH MC PREZZOR CHAVALA,THE KING!!

NI SIKU NJEMA KWA VIJANA WOTE WAKAO ARUSHA LEO(19TH MAY 2012)
 ICF praise Team ndani ya Semina

(Rachael Stephen,Coordinator wa event akiwa na MC Chavala)

KATIKA DARASA MOJA LA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

TANGU ASUBUHI MPAKA JIONI

IMEKUWEPO SEMINA YA MUHIMU SANA KWA VIJANA WOTE KWA AJILI YA KUWAWEZESHA KUJUA NGUVU ILIYOPO NDANI YAO KATIKA KULETA MABADILIKO KATIKA ULIMWENGU HUU!!
WATUMISHI WA MUNGU
1.MWL. MGISA MTEBE

2.MWL.CHRISTIAN MWABUKUSI

WAMEFUNDISHA MAMBO MAZITO PAMOJA NAO NAMI NIMEPATA BAHATI YA KUKAZIA MAMBO MACHACHE YA MSINGI KATIKA KUMTUMIKIA MUNGU,
 (Wahiriki 50 ndani ya I.Q test and only 8 passed)

PAMOJA NA KUIENDESHA SEMINA HII KAMA MC
 (WATAHINIWA WAKIKUSANYA PAPERS ZA I.Q TEST PUZZLE)

UTUKUFU UNABAKI KWA MUNGU KWA YOTE YALIYOTENDEKA LEO!!

AHSANTE MUNGU KWA VIJANA WA ARUSHA KWA MWITIKIO!!!
KARIBU SANA IAA TENA!!!!

No comments:

Post a Comment