NAAMINI WOTE NI WAZIMA NA MNAENDELEA VEMA, SASA ULE MZIGO TULIOUNGOJA WA TSHRTS UMESHAFIKA, HII YA AWAMU YA KWANZA KWA WASHIKA DAU WA UKWELI NA WATU WANAOPENDA KUONA LAUGH AGAIN CONCERT SERIES(LACS0 INAKUWA IDEA YA KIMATAIFA!!!
SASA UNAWEZA KUJIPATIA TSHRT YAKO YA RANGI NYEUSI NA RANGI NYINGINE ZITAFUATA SOON, NA KWA SASA TUNA ROUND TU,ILA AWAMU IJAYO TUTAKUWA NA ZILE ZENYE COLLAR NA HATA LONG AND SHORT SLEEVES ZA "O" AU "V" KUTOKANA NA CHAGUO LAKO!!!!
NA BEI YAKE NI 15,000/= NA 20,000/= TU!!!
KWA YEYOTE ANAYEHITAJI TAFADHALI TUWASILIANE KUPITIA
+255 713 883 797!!
NA KWA UHITAJI MAALUMU UNAWEZA KUPATA HII PIA!!!
.....KARIBUNI SANA!!!!