Sunday, October 21, 2012

MC CHAVALA AFANYA MAPINDUZI YA MAZOEA YA WENGI(alipocheza KWAITO ya..MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA.... NDANI TAMASHA LA INJILI DAR ES SALAAM!!!!

(MC CHAVALA & THE KING OF STAND UP COMEDY) 

UNAJUA WATU WENGI WAMEKARIRI SANA KUHUSU NAMNA YA KUENDESHA IBAADA AU MATAMSHA,LAKINI KATIKA HILI WATU WALIKUWA HAWANA JINSI ZAIDI KUIMBA NA KIUCHEZA,TENA KWAITO YA ...."MATAIFA YOTE YATAKUSANYIKA.....!!"
                                                                                            

(MC CHAVALA JUKWAANI NA PABLO TOKA ARUSHA WAKISIFU NA KUABUDU PAMOJA NA WAGENI WOTE WAALIKWA)

  TAMASHA HILI LILIKUWA NA MALENGO MAKUU MATATU,1. KUTAMBULISHA NA KUUZA MAONO YA COME AND SEE HAPA TANZANIA 2. KUZINDUA BLOG YAKE NA 3. KUKUSANYA PESA ZA KUANDALIA TAMASHA MAALUM LA WALEMAVU WENYE VIPAJI LITAKALOITWA "WAPENDE WALEMAVU" NA KWA KWA HAKIKA MAMBO HAYO YALIFANIKIWA!!

(MGENI RASMI AKIZINDUA BLOG.....http/;comeandseemusic.blogspot.com)
 
 
Hapa unamuona mgeni rasmi pamoja na wageni maalum wakifuatilia yanayoendelea kwa makini kabisa!!!
(Kutoka kushoto JERRY MURO,RULEA SANGA(blog designer),MGENI RASMI,AFANDE EVA,MCHUNGAJI,EMMANUEL NA MC CHAVALA)

SHUKRANI ZA DHATI ZIWAFIKIE WALE WOTE AMBAO WALIONA NI VEMA MIMI NIENDESHE TAMASHA HILO KAMA MC NA UTUKUFU UBAKI KWA MUNGU BABA MWENYEWE!!!
NA NINA IMANI TUTAENDELEA KUFANYA KAZI ZAIDI NA ZAIDI PAMOJA, KARIBUNI WOTE MNAONA NINAWAFAA PIA POPOTE PALE TANZANI, AFRIKA MASHARIKI NA AFRIKA NZIMA!!
+255 713 883797

AMEN!!!

No comments:

Post a Comment