Wednesday, November 28, 2012

NIMEBAHATIKA KUSHEREHESHA MKESHA MKUBWA "SINDIDA YOUTHS AND STUDENTS FESTIVAL" TAR 23/11/2012

PAPAA AND KING CHAVALA; THE BLOGGERS AND MCs
 YAANI HAPA NINAMSHANGAA MUNGU KWA UMATI WA KUTISHA NAMNA HII!!
UMATI WA VIJANA NA WANAFUNZI SINGIDA

PRAISE AND WORSHIP TEAM COMPRISES OF RIVERS OF JOY INTERNATIONAL AND SINGIDA MASS CHOIR

KWA HAKIKA WALIFANYA VIZURI SANA KATIKA USIKU HUO WA USHUHUDA!!
MC PAPAA SEBENE AND MC KING CHAVALA ON ONE STAGE!!!

YAANI TAR 23 NOV IKIWA NI TAREHE AMBAYO PROSPER MWAKITALIMA ALIZALIWA MARA YA TATU, KWA KUPONA TOKA KATIKA AJALI MBAYA SANA AMBAYO ILIKUWA ICHUKUE MAISHA YAKE, MWENYEWE AMEADHIMIA SIKU HIYO KILA MWAKA KUWA NI SIKU MAALUMU YA KUVUNA ROHO ZA KUTOSHA TU KWA YESU!!!
LAKINI NA MIMI PIA TAREHE HII NDIYO BIRTHDATE YANGU, INGAWA HUWA KILA MAY, HIVYO KILA WAKATI ATAKAPOKUWA AKIPVUA ROHO ZA WATU,MIMI NITAKUWA NUSU YA MWAKA WA UMRI WANGU WA KILA WAKATI UJAO!!!
KWA MUNGU UBAKI UTUKUFU, HESHIMA NA ADHAMA,AMEN!!!

No comments:

Post a Comment