Monday, November 19, 2012

SOMETIME BACK WITH KING CHAVALA(SENIOR) AND HIS LOVELY FAMILY!!!!

HABARI!!
KUNA NYAKATI ZIKIPITA,ZIMEPITA HUWA HAZIRUDI TENA!!!
SAA AMBAZO WATOTO WOTE WALIKUTANA NYUMBANI KWA SIKUKUU NA KADHA.....
LAKINI SASA KILA MMOJA YUKO NA MAJUKUMU YAKE NA WENGINE NA FAMILIA ZAO...OOOH I REMEMBER THOSE DAYS!!!!
BABA YANGU (ERASTO N. CHAVALA) ZAMANI AKIWA SERIKALINI ALIKUWA ANAPENDA SANA PIKIPIKI,LAKINI BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA SANA MWISHONI MWA MIAKA YA THEMANINI ,HAKUIPENDA TENA HATA LEO, ILA HUYO DOGO HAPO ALIYESHIKWA DAH KWA PIKIPIKI HUMWAMBII KITU NA NDIO MTOTO PEKEE KWETU MWENYE INTEREST NA PIKIPIKI!!!!!!!

eNZI HIZO WAKATI WA SIKUKUU MTU UMETOKA BOARDING UMECHOKA KAMA NINI, YAANI THOSE MOMENTS WAS GREAT!!!

KING CHAVALA(SENIOR) NDIYE ALIYENIFANYA NIPENDE SANA MAVAZI YA NAMNA HII, NA HATA LEO NA UZEE WAKE BADO ANAPENDELEA KUVAA!!!

HII NI SEHEMU TU YA FAMILIA YA MR AND MRS ERASTO NA OLIVER N. CHAVALA!!!!

No comments:

Post a Comment