Wednesday, November 28, 2012

....*PUMZIKA SHARO MILLIONEA!!!

NAOMBA NA MIMI BINAFSI KAMA MUASISI WA STAND UP COMEDY,HUSUSANI UPANDE WA CHRISTIAN WORLD, KUTOA POLE YANGU YA DHATI KWA MAMA WA MAREHEMU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA SHARO MILLIONEA!!

PIA NIWAPE POLE WASANII WOTE NCHINI, MAANA SHARO ALIKUWA AMEJISHIRIKISHA KWENYE TASNIA MBALIMBALI ZA SANAA HUSUSANI MUZIKI NA UIGIZAJI!!

NAKOSA MANENO YA KUSEMA, ILA NINACHOKIAMINI NI KUWA PENGO ALILOLIACHA KIJANA HUYU AMBAYE NDIO KWANZA ALIKUWA ANACHIPUKIA, HALITAZIBIKA KIRAHISI AMA HALITAZIBIKA KABISA!!!

MUNGU NA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI ALIPOMKUSUDIA, AMEN!!

No comments:

Post a Comment