Friday, January 25, 2013

ERIC SHIGONGO....NI MMOJA WA MARAFIKI ZANGU AMBAYE HISTORIA YAKE INANICHANGAMOTISHA SAAAANA!!!

Mr. Eric Shigongo and King Chavala MC
HUYU NI MTANZANIA WA KIPEKEE TOKA HUKO USUKUMANI,ALIYEANZIA SIFURI KABISA MPAKA SASA NI SHUJAA WA UKWELI!!
SIWEZI ELEZEA HISTORIA YAKE HAPA MAANA HAPATOSHI.....HUYU NI KIJANA AMBAYE HAPO KWANZA ALIKUWA MASIKINI,ASIYEHESHIMIKA,WA CHINI SIFURI KABISA....LAKINI ALIYEKATAA KUFA NA HISTORIA HIYO NA KUAMUA KUJA DAR NA KUANZA KUPAMBANA INGAWA HAIKUWA RAHISI HIVYO LAKINI SASA ANAMILIKI ZAIDI YA MAKAMPUNI SITA YANAYOFANYA VIZURI SANA HAPA NCHINI NA MAARUFU ZAIDI NI GLOBAL PUBLISHERS LIMITED WACHAPISHAJI WA VITABU VYA HADITHI,MAKALA NA WACHAPAJI WA MAGAZETI PENDWA HAPA NCHINI KAMA VILE "UWAZI|", "IJUMAA","AMANI" NA HAYO MENGINE!!
SASA ANAFANYA BIASHARA ZA HUDUMA,BURUDANI NA MAHOTELI NA NYINGINE NYINGI!!

No comments:

Post a Comment