Saturday, January 19, 2013

KING CHAVALA(MC) KUWA SEHEMU YA MAFANIKIO YA CAMPUS NIGHT 2013,MOSHI KWA AJILI YA MOSHI NA ARUSHA!!

MC akimkaribisha King Chavala(MC)
 Shalom!
Ulikuwa mkesha wa Jana tar 18 2013 katika Viwanja vya CCM Mkoa Kilimanjaro!
Hapa nikienda sawa na Umati
Huyu jamaa kwa Mbwembwe na Bass Guitor usiombe,anaitwa Bass Guitor man
Abeidnego Hango akiongoza Kaloleni Woshipers
 Yaani ilikuwa ni full celebration,full networking,full socializing!!
Mch.D.Mtalitinya akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

How beautiful this Mkusanyiko is???
Wanafunzi wakifuatilia kwa makini kila kinachoendelea!!!

King Chavala on The Stage!!!
BEHIND THE SCENE.....
THIS IS WHAT THE VENUE LOOKED LIKE BEFORE THE NIGHT!!!
VENUE YA CAMPUS NIGHT

KING CHAVALA BEHIND THE SCENE!!

HAPA MC ANAJARIBU KUFANYA CHOMBEZO KABLA SIJAANZA!!
MCHUNGAJI DAVID NKONE AKIONGOZA MAOMBI BAADA YA SOMO

JOHN LISSU AKIENDA SAWA

DAVID NKONE AKIFUNDISHA
GUYA FROM NAIROBI
NEW LIFE BAND WAKIIMBA ACAPELLA
KWA KWELI ILIKUWA NI SIKU NJEMA SANA NA YA PEKEE,MAANA KWA UJUMLA WAKE MALENGO YA MKUSANYIKO HUO YALIFANIKIWA,ZAIDI YA WANAFUNZI 2000 TOKA VYUO VYA KILIMANJARO NA ARUSHA WALIKUSANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CCM MKOA KUANZIA SAA TATU USIKU MPAKA ALFAJIRI NA TUKIO HILI LILIFUNGULIWA RASMI NA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO,WANENAJI WALIKUWA GUYA TOKA NAIROBI NA DAVID NKONE TOKA DAR...WAIMBAJI WALIOPAMBA USIKU HUO WALIKUWA KILIMANJARO MASS CHOIR,KALOLENI WOSHIPERS TOKA ARUSHA,NEW LIFE BAND,JOHN LISSU TOKA DAR KWAYA ZA VYUO MBALIMBALI,GUYA NA WAIMBAJI WENGINE BINAFSI NA MIMI NILIKUWEPO KUWAKILISHA STAND UP COMEDY!!!

KING CHAVALA(MC)
+255-(713/753)-883 797
lacs.project@gmail.com
facebook.com/chavalapf
Twitter; @kingchavala

No comments:

Post a Comment