Sunday, January 27, 2013

KWA MWALIKO RASMI WA "RACHEL SCHARP" NA MIMI NILPATA BAHATI YA KUHUDHURIA UTAMBULISHO HUU WA ALBUM KWA VYOMBO VYA HABARI!!!

KING CHAVALA MC
 SASA MIMI HAPA NINAJITAMBULISHA TU,HUKU NYUMA RITA CHUWALO(MC WA SHUGHULI HII),HANA MBAVU,NASHINDWA KUELEWA,INA MAANA HATA UTAMBULISHO WANGU NI COMEDY AU???
THE KING OF STAND UP COMEDY ON THE STAGE!!!
HII ILIKUWA NI SHUGHULI YA KIPEKEE NA ILIYOPANGIKA VEMA,RACHEL SCHARP MWIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI ANAYEISHI MALMO-SWEEDEN ALIKUWA AKITAMBULISHA ALBUM YAKE YA PILI "NI MUNGU WA AJABU" MBELE YA WAANDISHI WA HABARI,AMBAO WENGI WALIKUWA NI WA VYOMBO VYA DINI NA CHRISTIAN BLOGGERS,AMBAPO ALISOMA PRESS RELEASE http://www.gospelstandardbase.blogspot.com/2013/01/hii-ni-taarifa-ya-mwimbaji-wa.html NA HATIMAYE KUIMBA NYIMBO KADHAA NA BAADAE NIKAFANYA COMEDY BAADA YA UPENDO KILAHIRO NA HATIMAYE TUKAPATA DINNER NA KUIAGA SIKU HIYO!!
UPENDO KILAHIRO NA RACHEL SCHARP
ALITOA RAI KWA WAIMBAJI WA MUZIKI WA KITANZANIA KUONA NI NAMNA GANI YA KUKIENZI KISWAHILI NA TAMADUNI ZETU MAANA ZINAPENDWA SANA SANA HUKO DUNIANI!!!

Picha ni kwa hisani ya k-junior.blogspot.com na gospelstandabase.blogspot.com

KING CHAVALA MC
+255-(713/753)-883 797
facebook.com/chavalapf
Twitter @kingchavala
lacs.project@gmail.com

No comments:

Post a Comment