Wednesday, December 5, 2012

NIMEPATA HESHIMA KUWA MC WA HARUSI YA ENG.JAMES &UPENDO MMARI WA JIJINI ARUSHA!!!

Maharusi Eng.James na Upendo Mmari;wasimamizi Mr &Mrs Abeidnego Hango pamoja na MC Chavala kati!

Wakati huu maharusi wakijiachia katika moja ya bustani nzuri Mkoani Arusha!!!
 Na hapa ilikuwa ni ukumbini, na palikuwa na keki ya Unga pamoja na Ndafu!!
Nimesherehesha maharusi mengi lakini katika hii nilimuona Mungu akijidhihirisha kwa namna ya waziwazi,kwanza hiyo furaha iliyokuwepo ukumbini hakuna tena, na katika sherehe hii hakukuwa na kuingia kwa kadi,hivyo kila aliyealikwa alikuja mwenyewe na hakukuwa na mtu wa kumzuia mtu,lakini watu walikula na kunywa na kuacha!!
KWELI ILIPENDEZA SANA,NA NILIPOTETA NA BWANA HARUSI,ALINIAMBIA NI MAOMBI TU NA USHIRIKIANO NA WATU NDIO UMEWEZESHA HAYO YOTE!!!

For Moderation,Event planning na mengineyo yahusuyo shughuli zote,basi usisite
Nipigie
MC Chavala
"The King Of Stand Up Comedy Tz"
+255 713 883797
Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment