Friday, December 21, 2012

HIVI NDIVYO ARUSHA WALIAGA MWAKA 2012 NDANI YA CALVARY TEMPLE,NA MIMI KUPATA HESHIMA YA KUWA MMOJA WAO!!

King Chavala(MC) akifanya Stand Up Comedy ndani ya Calvary Temple,Arusha wakati wa Mkesha wa kuuaga Mwaka 2012
 MUNGU AMEFANYA MENGI SANA MAISHANI MWETU NA BADO ANAENDELEA KUFANYA ZAIDI HATA YALE AMBAYO HUTUSTAHILI KUYAPATA,HIVYO IMETUPASA KUWA NA MIOYO YA SHUKRANI KILA LEO....NA HAPA ARUSHA WAKATI WA KUUAGA MWAKA 2012,BASI KANISA LA CALVARY TEMPLE LILIAMUA KUANDAA MKESHA MAALUM ULIOPEWA JINA LA "FRIDAY NIGHT LIVE OVERNIGHT",MKESHA AMBAO ULIKUWA UNAHUDUMIWA NA MASS CHOIR,AMBAYO ILIHUSISHA WAIMBAJI TOKA MAKANISA MBALIMBALI YA JIJINI ARUSHA NA MKESHA HUO ULIFANYIKA NDANI YA KANISA HILO NA KUHUDHURIWA NA WATU WENGI SANA!!
MR AND MRS ONDO MBELE KABISA WAKIUNGANA NA WATU WOTE WALIOHUDHURIA MKESHA HUO KUCHEKA NA KING CHAVALA
HAWA NI UPANDE MMOJA TU WA KANISA USIKU HUO

MKESHA HUO ULIHUDHURIWA NA WACHUNGAJI MBALIMBALI WA MAKANISA YA ARUSHA NA LIFUNGULIWA RASMI NA BABA ASKOFU KIMARO,NA ZAIDI ULIENDESHWA NA MA-MC NA WATANGAZAJI WA REDIO ABEIDNEGO PETER HANGO(SAFINA RADIO) NA MATILDA(SUN RISE) NA MASS KWAYA ILIKUWA IKIONGOZWA NA TOLLA G,NA MTOKA ULIKUWA WHITE NA RED KAMA UONAVYO KWA KWELI ULIKUWA MKESHA WA BARAKA SANA!!

SEHEMU YA WAHUDHURIAJI WAKIJIMIMINA MBELE ZA BWANA WAO!!

HAPA NI KITU CHA SEBENE......

MC ABEIDNEGO PETER HANGO NA MC KING CHAVALA

KWELI USIKU HUU NI WA KIHISTORIA NA KWA HAKIKA HESHIMA HII SITAISAHAU KAMWE!!

BASI WATU TULIIMBA,TUKASIFU,TUKAABUDU,TUKALA NENO,TUKACHEKA NA KULA VYA MWILINI TUKIWA NA MIOYO YA SHUKRANI KABISA MBELE YA MUNGU NASI TUKAPIGA KELELE ZA SHANGWE NA KUOMBA BAADA YA KUUPOKEA MWAKA MWINGINE 2013!!
NINAMBARIKI SANA MUNGU KWA HESHIMA HII AMBAYO NILIPEWA NA KANISA HILI LA CALVARY TEMPLE PAMOJA NA KAMATI NZIMA YA MAANDALIZI,MUNGU NA ATUBARIKI SOTE!!!

MC CHAVALA
"THE KING OF STAND UP COMEDY"
+255 713 883 797/+255 753 883 797
lacs.project@gmail.com
Facebook;www.facebook.com/chavalapf
Twitter; @kingchavala

No comments:

Post a Comment