Wednesday, December 12, 2012

HIVI NDIVYO NILILIVYOSHEREHESHA UZINDUZI WA DVD YA LILIAN KIMOLA NDANI YA NYUMBANI HOTEL,JIJINI TANGA 25/11/2012!!

King Chavala(MC) ndani ya Nyumbani Hotel,Tanga,Tanzania
KING CHAVALA ON THE STAGE
 KATIKA MIZUNGUKO YANGU YA HAPA NA PALE,BAADA TU YA SHUGHULI YA SINGIDA,NILIENDA TANGA MOJA KWA MOJA,AMBAKO NILIALIKWA NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI LILIAN E.KIMOLA,AMBAYE ALIKUWA ANAWEKA WAKFU DVD YAKE.."NIWE WA KWANZA"; SHUGHULI HIYO ILIFANYIKA ALASIRI YA TAR 25TH NOV NDANI YA NYUMBANI HOTEL,MBALI NA KWAYA NA WAIMBAJI MBALIMBALI WA TANGA,WAIMBAJI WAKUBWA WALIOMSINDIKIZA NI BAHATI BUKUKU,JENIFER MGENDI PAMOJA NA MR&MRS JOSHUA MLELWA WA ZAMANI UPENDO GROUP!!!
KWA KWELI SHUGHULI ILIFANA SANA SANA NA WATU WALIJAA MPAKA WAKAKOSA VITI,NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUPATA HESHIMA HII YA KUWA MC WA UZINDUZI HUO!!!
KUTOKA DAR BWANA AKAONA NI VEMA ANIPANDISHE MPAKA MIKOANI,AHSANTE SANA BWANA YESU!!

Lilian Kimola(aliyekuwa anazindua) mwenye Mic akiimba na kutiwa moyo na Bahati Bukuku na Lilian Mlelwa

Back Up Praise Team ya Lilian Kimola wakienda sawa katika Kusebeneka

Back up praise team ya Lilian Kimola katika mtoko mwingine maalum wa uzinduzi wakiingia kwa engwe ya pili

King Chavala(MC) pamoja na Jenipher Mgendi ndani ya Nyumbani Hotel
ILIKUWA NI BARAKA YA PEKEE KUAMBATANA NA WATUMISHI WAKUBWA WA MUNGU NA KUTALII KIDOGO JIJI LA TANGA LENYE UTAJIRI MWINGI SANA WA "UONO" NA BAISIKELI!!

KWA MAHITAJI YEYOTE YA MC/COMEDIAN AU UANDAAJI WA SHUGHULI POPOTE PALE NCHINI TANZANIA TAFADHALI USISITE, WASILIANA KUPITIA

MODERN CEREMONERZ
Dar Es Salaam
+255 713 883 797
+255 753 883 797
lacs.project@gmail.com
"Modern Ceremonerz.....we turn events to Ceremonies"

No comments:

Post a Comment