Friday, February 1, 2013

REV.DK HURUMA NKONE NI MMOJA YA WATU WA MUHIMU SANA KWANGU!!!

SHALOM!
Clown Chavala a.k.a The Don of Comedians
 INAPENDEZA SANA KUONA BABA YAKO WA KIROHO ANAPENDA KAZI YAKO,ANAKUTIA MOYO NA NDIO MMOJA WA MENTOR WAKO!!
 BABA NAKUPENDAJE!!!!? NAOMBA UAMKE BASI NIKUHUG!!!
Rev.Dk Huruma Nkone and King Chavala
HAPA ILIKUWA NI BAADA YA KUFANYA COMEDY WAKATI WA UZINDUZI WA ALBUM YA AMANI KAPAMA NDANI YA VCCT-MBEZI BEACH-A MWISHONI MWA MWAKA JANA 2012!!
NAMPENDA SANA MCHUNGAJI HUYU NA HUYU NI BABA YANGU MAANA AMEKUWA RAFIKI YANGU TANGU 2006 NA HATA SASA BADO TUNATUMIKA PAMOJA,NA NAFARIJIKA KUCHUNGWA NAYE!!

......JUST STAY INFORMED!!!

No comments:

Post a Comment