Friday, April 5, 2013

JUMAPILI HII NITAKUWA NAMSINDIKIZA BOMBY JOHNSON PALEEEE HEMANI VCCT!!!

HATIMAYE KIJANA MTULIVU BOMBY JOHNSON ATAKUWA ANAZINDUA ALBUM YAKE YA KWANZA YENYE NYIMBO NYINGI ZA KUABUDU INAYOKWENDA KWA JINA "YUPO MUNGU",NA TUKIO HILI KUBWA LITAFANYIKA JUMAPILI YA TAR 7 KUANZIA SAA TISA ALASIRI KATIKA HEMA LA VICTORY CHRISTIAN CENTRE TABERNACLE KWA KIINGILIO CHA TSH 5000/=KAWAIDA NA 30,000/=KWA TICKET MAALUM!
TAMASHA HILI LITAKUWA LIVE NA WAKALI WA TASNIA YA INJILI TANZANIA WATAKUWA WAKIMSINDIKIZA KIJANA HUYU!!
>>>NA MIMI NIMEPATA NAFASI YA KUWA MMOJA WA WATU WATAKAOHUDUMU KATIKA TAMASHA HILI LA UZINDUZI!!!
KARIBUNI SANA TUMUUNGE MKONO!!!

No comments:

Post a Comment