Wednesday, April 24, 2013

NJOONI VCCT JUMAPILI MUONE AMBAVYO "PAUL CLEMENT" AMEITWA NA KUFANYWA IBAADA!!!!

HUYU NI KIJANA ANAYEFANYA VIZURI SANA KATIKA NYIMBO ZA KUABUDU,NAAM BAADA YA KUNOLEWA KWA MUDA MREFU KATIKA KUNDI LA GLORIOUS WORSHIP TEAM SASA AMEPATA AMANI YA KUFANYA ALBUM YA KWAKE PEKE YAKE HUKU AKIIENDELEA KUWEPO HUKO ALIPO!!
BASI NJOONI WOTE TUMUUNGE MKONO NA KUMWABUDU BWANA KWA PAMOJA!!
TOKA MOYONI NATAMANI NISEME NAPENDA SANA MOYO WA UNYENYEKEVU WA KIJANA HUYU!!
MUNGU NA AMFIKISHE MBALI SANA!!!

No comments:

Post a Comment