Wednesday, April 3, 2013

PASAKA HII "NIMEFURAHISHWA NA NGUVU YA KUFUFUKA KWAKE!!!"

Hello friends and fans!!!
What's up?
How was your Easter Weekend?
Hope everything went well with you!
MIMI BINAFSI NAMSHUKURU MUNGU SANA,MAANA WAKATI HUU WA EASTER AMENIWEZESHA KUKUTANA NA WANAFUNZI ZAIDI YA 2000 NA TUKAPATA NAFASI YA KUCHEKA PAMOJA!!
HAWA NI VIJANA TOKA MASHULE NA VYUO VYOTE VYA DAR ES SALAAM NA PWANI,HIVYO NAAMINI HAO WATAKUWA MABALOZI WAZURI SANA KOKOTE WATAKAKO KUWA,NIMEFURAHI SANA KUONGEZA WIGO WA MARAFIKI NA MASHABIKI!
SAFARI YANGU ILIANZIA IJUMAA KUU KULE KISARAWE-PWANI KATIKA SEMINARI YA KKKT YA KISARAWE,MAHALI AMBAPO ZAIDI YA WANAFUNZI 1000 WA UKWATA DAR-PWANI WALIKUSANYIKA KWA AJILI YA MKUTANO WA PASAKA!
King Chavala-MC
MC President CHAVALA
 NA KISHA JUMAMOSI NIKATUA BUNJU A,FANAKA MEMORIAL SECONDARY SCHOOL MAHALI AMBAPO WANA-CASFETA ZAIDI YA 500 WALIKUSANYIKA PIA KWA AJILI YA MKUTANO WA PASAKA,NA HAPO NAMSHUKURU MUNGU NILIPATA BAHATI YA KUSEMA NOW PIA!
CLOWN CHAVALA
 BASI SAFARI YANGU IKAISHIA HAPA TAFES-DSM KWENYE MKUTANO WA DTS(DISCIPLESHIP TRAINING SEMINAR) AMBAKO ZAIDI YA WANAVYUO 700 WALIKUTANIKA PAMOJA NAMI NILISHEREHEKEA NAO KUFUFUKA KWA YESU,NA ZAIDI TUKAPATA MUDA WA KUCHEKA SANA USIKU ULE WA PASAKA NA KUIMBA NYIMBO NYINGI!!
NAFURAHI SANA KUONA WIMBO WETU WA "SUPER SUPER" UNASHIKA KASI YA KUMAANISHA VINYWANI NA MIYONI WA WANAFUNZI WA VYUO VYA DAR ES SALAAM!!

THE FLYING STAND UP COMEDIAN OF OUR TIME,CHAVALA
KWA HAKIKA PASAKA HII ILIKUWA NJEMA MNO NA JUMATATU YA PASAKA NILIMALIZIA SHEREHE PALE VCCT KWA DR HURUMA NKONE NDANI YA IBAADA MAALUM YA SHANGWE IITWAYO "EASTER PRODUCTION"
NAYO ILIKUWA NJEMA MNO MAANA VIPAJI VYOTE VYA NDANI...RIVERS OF JOY INTERNATIONAL,AMANI KAPAMA,BOMBY ,JEFF,KING CHAVALA PAMOJA NA WAGENI DAMIAN,PAUL CLEMENT NA NEXT LEVEL CHINI YA USHEREHESHAJI WA PAPAA SEBENE!!
AHSANTENI SANA KWA WOTE MLIOHUSIKA KWA NAMNA ZOTE KUNIFANYA NIFURAHI PASAKA HII!!!

KARIBU SANA!

+255 713 883 797
Facebook; facebook.com/chavalapf
Twitter; @kingchavala

No comments:

Post a Comment