Sunday, April 28, 2013

MATUKIO KATIKA PICHA KAMA ILIVYOKUWA WAKATI WA UZINDUZI WA ALBUM YA PAUL CLEMENT!!

Paul Clement akiwa jukwaani
Paul Clement pamoja na team yake

KUNDI JIPYA MJINI


KING CHAVALA-MC nikitambulisha MIRIUM MAUKI JUKWAANI

Mirium Lukindo wa Mauki aking'ang'ana jukwaani siku hiyo!

King Chavala on The StageHATA MIMI PIA NILIKUWA MMOJA YA WAHUDUMU WAALIKWA....NA MIMI HAPA NILIKUWA NIKIENDA SAWA NA HADHIRA YANGU!
Bomby Johnson naye pia aliogelea kwenye damu ya Yesu mpaka akaokoka

Mpello Kapama nae pia alikuwepo siku hiyo

Papaa Sebene,MC pamoja nami siku hiyo!

King Chavala MC wa shughuli pia
Samuel Sasalo a.k.a Papaa Ze Blogger & Clown Chavala a.k.a The King Of Stand Up Comedy,Ma-MC wa siku hiyo ya Paul Clement katika picha ya Pamoja.Dr Edda Wandi,Mzee wa kanisa Kiongozi VCCT kwa Niaba ya Rev.Dk Huruma Nkone akisema neno kabla ya kuweka wakfu album ya Paul Clement
KWA HAKIKA WATU WALIOKUWEPO WALIJITOA KUMCHANGIA KIJANA HUYO,KILA MMOJA KWA KADRI ALIVYOSUKWA MOYONI KWA HIARI YAKE!
Hawa ni baadhi ya wachangiaji Joshua makondeko,Mirium Mauki,John Marco,Emmanuel Kwayu na Bwana Noel na mkewe Nice Tenga
UZINDUZI HUU WA ALBUM ULISIMAMIWA NA KAMPUNI YA MANCON EAST AFRICA LTD AMBAYO PIA NDIO INAHUSIKA NA USAMBAZAJI WA KAZI HIZO PAMOJA KUMSIMAMIA PAUL CLEMENT!
Prosper Alfred Mwakitalima,MD-MANCON E.LTD Akibubujika kumshukuru Mungu.

kWAITO BHANA!

BASI KAMA ILIVYO ADA MWISHO WA SHUGHULI HUWA NI CELEBRATION YA NAMNA YAKE,BASI HAPA KWA PAMOJA TULIPOMOKA NA KUSHEREKA KWA SEBENE PAMOJA NA KWAITO KABLA YA KWENDA HOME.

NINAMTAKIA KILA LAKHERI PAUL CLEMENT KATIKA UTUMISHI WAKE KOKOTE TANZANIA NA DUNIA NZIMA!!
+255 713 883 797

No comments:

Post a Comment