Wednesday, August 7, 2013

KUNA WAKATI NINACHOKA NA NINAHITAJI MAPUMZIKO....SAFARI HII MAPUMZIKO NI DODOMA!!!

 NIKIWA NA RAPHAEL LYELA DODOMA.....

 NIKO NA MCHUNGAJI ZEPHANIA MKUYU WA TCCC, DODOMA MAMA WA YKM, MCHUNGAJI MKUYU NA MIMI....

 NAJUA MMENIONA HATA KABLA RAPHAEL HAJAWAONYESHA!!
 MBEBA MAONO YA YKM, MKURUGENZI WA YKM NA KING CHAVALA
SIO KWAMBA SIMUONI, NAMUONA SANA, WE NGOJA MPIGA PICHA AGEUKIE KULE UONE NITAKACHOKIFANYA!!

......MORE PICTURES ARE COMING!!!!!

KING cHAVALA MC!!

No comments:

Post a Comment