Wednesday, August 14, 2013

....YOU CAN BE WHOEVER YOU WANT TO BE IN THIS EARTH!!!!

HELLO HABARI RAFIKI ZANGU!
LEO NIMETAMANI NISEME JAMBO MOJA AMBALO YAMKINI LIKAMTIA MOYO MTU FULANI MAHALI FULANI.
KATIKA MAISHA HAYA KILA MMOJA ANA UWEZO WA ASILI (NATURAL POTENTIAL) WA KUWA MTU AU KITU CHOCHOTE ANACHOTAKA KUWA.
THAMANI YA MTU SIO MAHALI ALIPO WALA MARAFIKI ALIONAO WALA CHOCHOTE KILE ZAIDI YA YEYE MWENYEWE JINSI ALIVYO.
UNAWEZA KUWA MASIKINI LEO SANA NA KESHO UKAWA BILIONEA WA KUOGOPWA!
KUWA NA MALENGO,AMUA KUTAZAMA MBELE NA KUJIDHATITI KATIKA NJIA YAKO!

NINI HASA MAISHANI MWAKO UMEGUNDUA NI MUHIMU SANA KULIKO HATA FURAHA YAKO? BASI HICHO NDIO CHA KUNG'ANG'ANA NACHO HATA UWE TAYARI KUFA KWA AJILI YAKE,ILIMRADI TU UACHE ALAMA MAISHANI MWAKO!!

NENDA!.....NENDA!......NENDA!.....USISITE, IPO SIKU ITAKUWA POA TU KWAKO!!!!

Na King Chavala MC
+255 713 883 797

No comments:

Post a Comment