Thursday, August 8, 2013

RICHARD CHIDUNDO IS MORE THAN MC/EVANGELIST/SINGER/TRANSLATOR/MISSIONARY AND STAND UP COMEDIAN!!!

 NI VEMA NA  HAKI KUWAKUBALI NA KUWATIA MOYO WATU WANAOFANYA VIZURI!!
NAMPENDA SANA RAFIKI YANGU HUYU KWA UNYENYEKEVU,UPENDO WA KWELI NA KUJITOA KWAKE, NIMETOKA NAE MBALI KIDOGO,NIMEKAA NAE NYUMBA MOJA  NA NDIO MC WA KWANZA NA MEMBER OF LAUGH AGAIN CONCERT SERIES(LACS)
RICHARD CHIDUNDO
HELLO HABARI ZENU!
LEO KIPEKEE NIMETAMANI NIWALETEE HABARI ZA KIJANA MMOJA AMBAYE YAMKINI HUWA MNAMUONA MARA MOJA MOJA KATIKA MATUKIO MBALIMBALI NA MSIJUE NI NANI HASA, NDIO HAPA NINAMZUNGUMZIA "RICHARD CHIDUNDO", MSOMI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ALIBOBEA KATIKA LUGHA (LINGUISTIC)
HUYU NI KIJANA ALIYEOKOKA, KIONGOZI KANISANI KWAKE NA KIONGOZI KATIKA NYANJA YA KITAIFA WA JUMUIA YA VIJANA YA KANISA LA BETHEL ASSEMBLIES OF GOD CHINI YA ASKOFU CHIDUNDO.

MC RICHARD CHIDUNDO
 RICHARD CHIDUNDO NI MSHEREHESHAJI MAARUFU WA MATUKIO MBALIMBALI KAMA VILE HARUSI,MATAMASHA,MAKONGAMANO,MIKESHA,MIKUTANO NA SHUGHULI ZINGINE ZOTE ZINAZOHITAJI MC LAKINI ZENYE UTUKUFU KWA MUNGU.

MWIMBAJI RICHARD CHIDUNDO
 RICHARD CHIDUNDO NI MWIMBAJI MZURI SANA AMBAYE ANAWEZA KUPIGA GITAA NA KINANDA (PIANO); MARA NYINGI AMEKUWA AKIFUNDISHA KUSIFU NA KUABUDU KANISANI KWAKE NA MAKUNDI YA WANAFUNZI NA AMEWAHI KUNIAMBIA ANA MPANGO WA KUREKODI MUNGU AKIMPA KIBALI.
 MC RICHARD CHIDUNDO NA CO-MC ANNA MWANO WAKIWA KAZINI...
 INJILI LAZIMA IENDE KWA WATU WOTE NA WATAKAOTANGAZA INJILI NI WATU WA MATAIFA YOTE....
 AKIWA TAYARI KWA KAZI YA KUSHEREHESHA HARUSI MAHALI FULANI....
 NA HILI NI MOJA YA MATANGAZO YA MIKUTANO MINGI ALIYOHUDHURIA KUHUDUMU KAMA MTAFASIRI AMA KAMA MUHUBIRI
 MC RICHARD CHIDUNDO AKIWA KAZINI HIVI KARIBUNI NDANI YA LAMADA HOTEL..

UNAWEZA KUMWITAJI RICHARD CHIDUNDO KAMA MC AMA KAMA MTAFASIRI AMA MWALIMU WA UIMBAJI AMA KAMA MWIMBAJI AMA KAMA MHUDUMU WA NENO AMA KWAMA MWALIMU MSHAURI AMA KAMA STAND UP COMEDIAN
ANAPATIKANA KWA 0713 802107.
 RICHARD CHIDUNDO NI MMOJA YA VIJANA AMBAO BWANA KWA HAKIKA ANAWATUMIA KATIKA MAPOZI YA KUPIGA PICHA....
TRANSLATOR RICHARD CHIDUNDO AT WORK
RICHARD CHIDUNDO & KING CHAVALA
HUYU PIA MZUNGUMZAJI MUHAMASISHAJI, MWALIMU NA MWINJILISTI, ANAENDESHA KITUO BINAFSI YA KUFANYIA MITIHANI NA SHULE YA MSINGI INAYOFUNDISHA KWA LUGHA YA KIINGEREZA (ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL)
NA ZAIDI HUYU NI MCHEKESHAJI WIMA WA KIKRISTO NINAYEMKUBALI JUU YA WOTE, NA HUYU ANAFANYA VIZURI KWA SABABU ANALIJUA NENO VEMA....WAKATI WOTE UTAKAPOKUMUONA BASI UWE NA HAKIKA NDANI YA LAUGH AGAIN CONCERT SERIES HUTAMKOSA.

TUNA MENGI YA KUFANYA PAMOJA....MBALI NA KUWA NA MIPANGO YAKE BINAFSI LAKINI TUNATEGEMEA KUHOST VIPINDI KADHAA YA TELEVISION NA REDIO!!

NDIO THIS IS MY MAN....RICHARD CHIDUNDO......ANAPATIKANA FACEBOOK PIA!!

Na KING CHAVALA-MC
+255 713 88 3797

No comments:

Post a Comment