Sunday, August 18, 2013

HATIMAYE FAMILA YA MCHUNGAJI MICHAEL MWANSAMPEPO YAMUAGA BINTI YAO DOROTHEA!!!

 HAP\ NIKIWA NJE YA UKUMBI WA TUKIO KABLA YA TUKIO KUANZA!
NA SHUGHULI HII IMEFANYIKA KATIKA UKUMBI WA KANISA LA RESTORATION BIBLE CHURCH LA MIKADI,KIGAMBONI,DAR ES SALAAM,TANZANIA!!

 ...DUNIA INA MBWEMBWE SANA,ETI KEKI NAZO ZINAMILIPUKO...HAPA SIKUELEWA,SIJUI NI KWASABABU BINTI HUYU ANAENDA KUOLEWA MTWARA AU NI UREMBO TU MMMH!

 BASI KEKI ITALIWA TU!
 NISEME NISISEME?
WAMEPENDEZA AMA HAWAJAPENDEZA?
BASI WALE WALIOTUWEKA HAPA NDIO JHAWA HAHAHAH
 JAMANI KWA PAMOJA NIWAKARIBISHENI KWA CHAKULA CHA JIONI YA LEO!!
KWA HAKIKA HII ILIKUWA SHUGHULI YA KIPEKEE MNO,SIMPLE BUT VERY COMPLETE,WALIKUWEPO WACHUNGAJI KADHAA PAMOJA NA BABA ASKOFU MMOJA,FULL MAOMBI,FULL MAANDIKO NA FULL NENO,YAANI KWA HAKIKA ILIKUWA POA SANA!!

WAMENIFURAHISHA SANA WATU WOTE HUSUSANI BABA MCHUNGAJI (BABA MLEZI WA DOROTHEA) PAMOJA MAMA MLEZI WA DOROTHEA KWA UPENDO WALIOMUONYESHA BINTI HUYU,ALIYEBOBEA KWENYE UALIMU NA ANAEENDA KUYAANZA MAISHA YAKE MTWARA NA MUME WAKE,BASI TUOWAOMBEE HERI YA MAFANIKIO NA MAISHA BORA!!

NIMEFURAHI KUTUMIKA KAMA MC NA MTUMISHI KATIKA KAZI HII!!

(Picha kwa Hisani ya Emmanuel Samwel)

KING CHAVALA MC
+255 713 883 797

No comments:

Post a Comment