The Great MC and Stand up Comedian; Man of Smiles.....Natural Stress Healer......Man of Quality and Standards!! THE SERIOUS GUY ON LAUGHING AGAIN CONCERTS SERIES The pioneering founder and the King of Christian Stand Up Comedy in Tanzania!!! www.kingchavala.blogspot.com +255 713 883 797 lacs.project@gmail.com
Facebook Badge
Tuesday, December 25, 2012
LAUGH AGAIN CONCERT SERIES KUFANYA TAMASHA LA MWISHO JPILI YA TAR.30 DEC 2012 NDANI YA HEMA LA NKONE!!!
A mega Omega Christian Stand Up Comedy Concert of Season One of LACS along with Live DVD Recording By The King Of Stand Up Comedy for Domestic use!!!
Chavala Ideas Platform presents a last Stand up Comedy Show by King Chavala and the fellows for year 2012 and Season one!!
This Concert will be happening on the last Sunday of the year, and it will be very important day to Celebrate,Appreciate and giving thanks to Almighty God for his mighty favors and blessings for the whole year but also for great success of Season One and One Year of LACS project!!
It has never happen before like this,so get to attend to discover what i mean..Best comedy punches of the year by King Chavala with Richard Chidundo;Gerald Mrema and MC PiliPili, along with Mellan Nkya(Story Teller);Samwel Yona with Rivers of Joy International plus Dancers(LACS Mega Dancers) will nourish your peace of Mind for 5hours!!
On 30th Dec 2012 from 1500-2000hrs inside the modern new Air Conditioned Tent of Victory Christian Center Tabernacle(VCCT) at Mbezi Kawe A!
(Along Old Bagamoyo Road,left of the road just after the Bridge when you are coming from Town or follow the tarmac road just by KKKT Tanki Bovu as you are going to the ocean and before you meet Old bagamoyo road you will find a board at your right)
SPECIAL GUESTS;
All groups of Comedy in the country especially those famously known like Original Comedy,Ze Comedy,Baitan,PikaBoom,Futuhi,Mizengwe,Vituko Show and Vuvuzela; Bongo Movie; Gospel icons; Pastors; Government and Political leaders and All other Celebrities in Tanzania and you, will be our very important guests of the day...ALL COMING TOGETHER JUST TO LAUGH,TO RELAX AND TO RELEASE THEMSELVES!!!
NOTE;
1.There will be buses from the tent after the event up to Mwenge
2.The Event is not FREE but there is NO ENTRANCE
3.There are only around 1000 seats,so confirmation and panctuality is very important
4.The Event is Dedicated to Our Beautiful Country Tanzania, so make sure you appear on your cultural gear and at least any emblem/symbol of your Nationality like Cultures,flags etc
FOR MORE INFO/SPONSORSHIP/SUPPORT/QUESTION please get us via;
lacs.project@gmail.com
+255 717 082209 (Event Manager)
+255 713 883797
+255 753 883797 (For Contribution via M-Pesa)
(Much gr-attitudes to Rev.Dk Huruma Nkone for rearing/parenting this VISION and giving a room to use Churche's tent for this Mega Event)
htt//; kingchavala.blogspot.com
>>Once you get this info,please be kind,just share it to all your friends,relatives and your family!!
********KARIBU SANA!!!!!!**********
Friday, December 21, 2012
HIVI NDIVYO ARUSHA WALIAGA MWAKA 2012 NDANI YA CALVARY TEMPLE,NA MIMI KUPATA HESHIMA YA KUWA MMOJA WAO!!
King Chavala(MC) akifanya Stand Up Comedy ndani ya Calvary Temple,Arusha wakati wa Mkesha wa kuuaga Mwaka 2012 |
MR AND MRS ONDO MBELE KABISA WAKIUNGANA NA WATU WOTE WALIOHUDHURIA MKESHA HUO KUCHEKA NA KING CHAVALA |
SEHEMU YA WAHUDHURIAJI WAKIJIMIMINA MBELE ZA BWANA WAO!! |
HAPA NI KITU CHA SEBENE...... |
MC ABEIDNEGO PETER HANGO NA MC KING CHAVALA |
Location:
Arusha, Tanzania
Sunday, December 16, 2012
HATIMAYE PAUL JOHNSON NA ARUSHA MASS KWAYA AFANYA LIVE CONCERT YA KUSIFU NA KUABUDU NDANI YA METROPOLE,ARUSHA,TANZANIA!!
Shalom!
I am so glad to be invited and to be part of this mega live praise and worship concert in Arusha,Tanzania!!
Kweli ilikuwa ni bonge la tamasha ambalo siwezi simulia mtu akanielewa kama hakuwepo,may be asubiri DVD ya tamasha hilo...na hapa ndio nimeachia single yangu mpya kwa mara ya kwanza mbali na kufanya Comedy na U-MC!!
PAUL MUNGU AKUBARIKI SANA!!
I am so glad to be invited and to be part of this mega live praise and worship concert in Arusha,Tanzania!!
Kweli ilikuwa ni bonge la tamasha ambalo siwezi simulia mtu akanielewa kama hakuwepo,may be asubiri DVD ya tamasha hilo...na hapa ndio nimeachia single yangu mpya kwa mara ya kwanza mbali na kufanya Comedy na U-MC!!
PAUL MUNGU AKUBARIKI SANA!!
Paul Johnson akiongoza sifa na kuabudu |
Arusha mass Choir ndani ya Metro pole |
Paul Johnson |
Mass choir haikuwa nyuma kwa masebene |
Napenda sana swaga za Paul Johnson akiwa jukwaani |
Wednesday, December 12, 2012
HIVI NDIVYO NILILIVYOSHEREHESHA UZINDUZI WA DVD YA LILIAN KIMOLA NDANI YA NYUMBANI HOTEL,JIJINI TANGA 25/11/2012!!
King Chavala(MC) ndani ya Nyumbani Hotel,Tanga,Tanzania |
KING CHAVALA ON THE STAGE |
KWA KWELI SHUGHULI ILIFANA SANA SANA NA WATU WALIJAA MPAKA WAKAKOSA VITI,NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUPATA HESHIMA HII YA KUWA MC WA UZINDUZI HUO!!!
KUTOKA DAR BWANA AKAONA NI VEMA ANIPANDISHE MPAKA MIKOANI,AHSANTE SANA BWANA YESU!!
Lilian Kimola(aliyekuwa anazindua) mwenye Mic akiimba na kutiwa moyo na Bahati Bukuku na Lilian Mlelwa |
Back Up Praise Team ya Lilian Kimola wakienda sawa katika Kusebeneka |
Back up praise team ya Lilian Kimola katika mtoko mwingine maalum wa uzinduzi wakiingia kwa engwe ya pili |
King Chavala(MC) pamoja na Jenipher Mgendi ndani ya Nyumbani Hotel |
KWA MAHITAJI YEYOTE YA MC/COMEDIAN AU UANDAAJI WA SHUGHULI POPOTE PALE NCHINI TANZANIA TAFADHALI USISITE, WASILIANA KUPITIA
MODERN CEREMONERZ
Dar Es Salaam
+255 713 883 797
+255 753 883 797
lacs.project@gmail.com
"Modern Ceremonerz.....we turn events to Ceremonies"
Location:
Tanga, Tanzania
Wednesday, December 5, 2012
JUMAPILI ILIYOPITA NILISHEREHESHA UZINDUZI WA ALBUM YA "2x2" YA VICTOR ARON NDANI YA MLIMA WA MOTO!!!
HAPA TUKIWA MADHABAHUNI TUKIENDA SAWA NA MTUMISHI ALIYEWEKA WAKFU ALBUM YAKE,HAPA NIKO NA MAGUPA BONIFACE!!
Kasha la CD ya Victor Aron "2X2"(KANUNI) |
NIMEPATA HESHIMA KUWA MC WA HARUSI YA ENG.JAMES &UPENDO MMARI WA JIJINI ARUSHA!!!
Maharusi Eng.James na Upendo Mmari;wasimamizi Mr &Mrs Abeidnego Hango pamoja na MC Chavala kati! |
Wakati huu maharusi wakijiachia katika moja ya bustani nzuri Mkoani Arusha!!!
Na hapa ilikuwa ni ukumbini, na palikuwa na keki ya Unga pamoja na Ndafu!!
Nimesherehesha maharusi mengi lakini katika hii nilimuona Mungu akijidhihirisha kwa namna ya waziwazi,kwanza hiyo furaha iliyokuwepo ukumbini hakuna tena, na katika sherehe hii hakukuwa na kuingia kwa kadi,hivyo kila aliyealikwa alikuja mwenyewe na hakukuwa na mtu wa kumzuia mtu,lakini watu walikula na kunywa na kuacha!!
KWELI ILIPENDEZA SANA,NA NILIPOTETA NA BWANA HARUSI,ALINIAMBIA NI MAOMBI TU NA USHIRIKIANO NA WATU NDIO UMEWEZESHA HAYO YOTE!!!
For Moderation,Event planning na mengineyo yahusuyo shughuli zote,basi usisite
Nipigie
MC Chavala
"The King Of Stand Up Comedy Tz"
+255 713 883797
Dar es Salaam
Saturday, December 1, 2012
HONGERA SANA MR.ELISHA & ORPAH KWA HARUSI NZURI.....By MC CHAVALA!!
Mapambo mazuri ndio ashirio la kwanza la kufana kwa shughuli yoyote ile!! |
Nov 4, 2012 ndiyo ilikuwa siku ya kipekee kwa Bwana Elisha kuungana na Bibi Orpah kwa ndoa halali katika kanisa la Kijitonyama KKKT na baadaye kufuatiwa na tafrija ya kufana sana ndani ya ukumbi wa kisasa wa Diomond Jublee Executive...Kwa kweli harusi hii ilifana sana, nimesherehesha harusi na sherehe nyingi sana lakini nina ujasiri wa kusema hii ilikuwa Bab kubwa, kwanza ukumbi ulipendeza mno ndani Orange Colour,viti vya kisasa,vyakula vya kutosha,vinywaji vya kujidai navyo,shampeni kila meza na kilevi hakikurasimishwa katika shughuli hii....Wasimamizi na Maids wote walipendeza mno na kwa kuwa maharusi wote ni waimbaji wa Kwaya ya Uinjilisti kijitonyama KKKT, hivyo kulikuwa na live performance ya timu hiyo...karibu sasa utazame matukio machache kwa faida ya wewe pia kujifunza.
Maharusi wakiingia ukumbini |
Hapa ni MC CHAVALA(kushoto) na Hapa set ya Maua ya harusi imekamilika |
MC CHAVALA AKIWAMIMINIA SHAMPENI ISIYO KILEVI MAHARUSI |
MR.ELISHA & ORPAH WAKIIMBA LIVE PAMOJA NA KWAYA YA UINJILISTI YA KIJITONYAMA(KKKT) |
MAHARUSI WAKIKATA KEKI YA KISASA KABISA |
Wageni waalikwa wakifuatilia mambo yanavyokwenda |
Mh Masilingi(Mb) alikuwa ni mmoja wa wageni maalum wa harusi hii na ndugu wa Bwana harusi |
Hongereni sana Elisha na Orpaha kwa hatua hii ya leo |
Maharusi wakifurahia chakula cha jioni |
Mana-iPhoto
Dealing with POTRAIT & WEDDING PHOTOGRAPHY
Box 5282 Dsm Tel: 022 2668562
Cell +255-(754/784/655)-320 955
email; cmgaya2002@hotmail.com
KWA MAHITAJI YA UAANDAJI WA SHUGHULI YA AINA YEYOTE ILE PAMOJA NA MC.MUZIKI ,MAPAMBO NA MENGINE YOTE,TAFADHALI WASILIANA NASI;
MODERN CEREMONERZ
+255 713 883 797
King Chavala(MC)
Wednesday, November 28, 2012
NIMEBAHATIKA KUSHEREHESHA MKESHA MKUBWA "SINDIDA YOUTHS AND STUDENTS FESTIVAL" TAR 23/11/2012
PAPAA AND KING CHAVALA; THE BLOGGERS AND MCs |
UMATI WA VIJANA NA WANAFUNZI SINGIDA |
PRAISE AND WORSHIP TEAM COMPRISES OF RIVERS OF JOY INTERNATIONAL AND SINGIDA MASS CHOIR KWA HAKIKA WALIFANYA VIZURI SANA KATIKA USIKU HUO WA USHUHUDA!! |
....*PUMZIKA SHARO MILLIONEA!!!
NAOMBA NA MIMI BINAFSI KAMA MUASISI WA STAND UP COMEDY,HUSUSANI UPANDE WA CHRISTIAN WORLD, KUTOA POLE YANGU YA DHATI KWA MAMA WA MAREHEMU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA SHARO MILLIONEA!!
PIA NIWAPE POLE WASANII WOTE NCHINI, MAANA SHARO ALIKUWA AMEJISHIRIKISHA KWENYE TASNIA MBALIMBALI ZA SANAA HUSUSANI MUZIKI NA UIGIZAJI!!
NAKOSA MANENO YA KUSEMA, ILA NINACHOKIAMINI NI KUWA PENGO ALILOLIACHA KIJANA HUYU AMBAYE NDIO KWANZA ALIKUWA ANACHIPUKIA, HALITAZIBIKA KIRAHISI AMA HALITAZIBIKA KABISA!!!
MUNGU NA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI ALIPOMKUSUDIA, AMEN!!
PIA NIWAPE POLE WASANII WOTE NCHINI, MAANA SHARO ALIKUWA AMEJISHIRIKISHA KWENYE TASNIA MBALIMBALI ZA SANAA HUSUSANI MUZIKI NA UIGIZAJI!!
NAKOSA MANENO YA KUSEMA, ILA NINACHOKIAMINI NI KUWA PENGO ALILOLIACHA KIJANA HUYU AMBAYE NDIO KWANZA ALIKUWA ANACHIPUKIA, HALITAZIBIKA KIRAHISI AMA HALITAZIBIKA KABISA!!!
MUNGU NA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI ALIPOMKUSUDIA, AMEN!!
Monday, November 19, 2012
SOMETIME BACK WITH KING CHAVALA(SENIOR) AND HIS LOVELY FAMILY!!!!
HABARI!!
KUNA NYAKATI ZIKIPITA,ZIMEPITA HUWA HAZIRUDI TENA!!!
SAA AMBAZO WATOTO WOTE WALIKUTANA NYUMBANI KWA SIKUKUU NA KADHA.....
LAKINI SASA KILA MMOJA YUKO NA MAJUKUMU YAKE NA WENGINE NA FAMILIA ZAO...OOOH I REMEMBER THOSE DAYS!!!!
KUNA NYAKATI ZIKIPITA,ZIMEPITA HUWA HAZIRUDI TENA!!!
SAA AMBAZO WATOTO WOTE WALIKUTANA NYUMBANI KWA SIKUKUU NA KADHA.....
LAKINI SASA KILA MMOJA YUKO NA MAJUKUMU YAKE NA WENGINE NA FAMILIA ZAO...OOOH I REMEMBER THOSE DAYS!!!!
eNZI HIZO WAKATI WA SIKUKUU MTU UMETOKA BOARDING UMECHOKA KAMA NINI, YAANI THOSE MOMENTS WAS GREAT!!! |
KING CHAVALA(SENIOR) NDIYE ALIYENIFANYA NIPENDE SANA MAVAZI YA NAMNA HII, NA HATA LEO NA UZEE WAKE BADO ANAPENDELEA KUVAA!!! |
HII NI SEHEMU TU YA FAMILIA YA MR AND MRS ERASTO NA OLIVER N. CHAVALA!!!! |
Wednesday, November 14, 2012
NOVEMBA 9 NIMEBAHATIKA KUSHEREHESHA BOTTLE PARTY(WELCOME FRSHERS) NDANI YA MKOA WA KILIMANJARO!!!
The King Of Stand Up Comedy on the Stage |
MC Chavala at work |
King Chavala leading the Praise and Worship...here were sing a song "TUKUE TUKUE EEEH, TUKUE NA KUONGEZEKA IMANI" YAANI IT WAS FANTASTIC...ONE SONG FIVE SINGING KEYS!! |
Motivational Speaker, Chavala |
Live Interview of MC Chavala with Mr&Mrs D.Mtalitinya Concerning Love, Relationship and Marriage Experience |
Christian Fashion Models |
Christian Fashion Model including Designer Chavala na Sponsor Neema Shoo |
Neema Shoo with Mc Chavala |
MC Chavala explaining to people about Fashion and Designing |
HII ILIKUWA EVENT YA KIPEKEE SANA NA ILIKUWA NA MAMBO YA KIPEKEE MNO!!
FASHION AND MODELLING
PRAISE AND WORSHIP
DRAMA
STAND UP COMEDY
NYAMA CHOMA
Chavala and Neema Shoo with Others in Modeling |
TCHAOOO!!
MC/COMEDIAN KING CHAVALA
+255 713 883797
DAR ES SALAAM
TANZANIA
Subscribe to:
Posts (Atom)